Upepo ukemlazimisha mkuu wa kaya kulazimisha kumpitisha POMBE ambaye hana mzizi na uzoefu wowote katika chama caha magamba. Hajui fitina za magamba. Kwa fitina zilezile, mkuu wa kaya kageukwa na mtu wake kipenzi kukatalia (Membe). Fitina zilezile, eti Jnuary, Migiro na Amina bora kuwazidi Pinda...
Kama urais ulivyorahisishwa, Ubunge hivyo hivyo, isipokuwa safari hii wataingia makamanda wengi ambao ni wakombozi, wale wasanii wa mipasho na masharobaro wa magamba ni vigumu kupenya katika tanuri la uchaguzi linalokuja.
CHAZA
wanamtwara na gesi yenu mtakuwa mmefanya makosa makubwa sana kumchagua mbunge kutoka CCM kutokana na mlivyopigwa mabomu, kuteswa na kuuawa kutokana na kudai haki ya gesi yenu ichakatuliwe na kusafirishw kwenu badala ya kupelekwa kwa baba RIZ Bagamoyo.
Wale jamaa wa kazi waliovamia kituo cha polisi sitaki shari, baada ya kukamilisha kazi ya uharamia na mauaji, mwenzao mmoja pikipiki yake ilimletea gozigozi ikagoma kuwaka. Wenzake kuona hivyo, wakamusha kwa kummiminia risasi kwa kuona kuwa naye anawaletea gozigozi. Kuna tofauti gani na...
Huyu jamaa namkubali sana lakini kukiri kuwa hawezi kukihama chama cha mafisadi na akikiri kila siku kuwa rasimu ya katiba iliyokuwa imebeba masuala yote muhimu yaliyopendekezwa na wananchi yamenyofolewa na manyang'au hao hao CCM ni unafiki na uzandiki.
Kwa kuishiwa mbinu na mikakati mipya ya kisasa ya kujenga chama chenu, mnaiga mbinu zile zile za baba zenu za kihalifu za kupiga watu hadharani mchana kweupe na kisha mnakuja na mbinu za kitahaira za kujitetea eti hamhusiki, Mwangosi alisambaratishwa na bomu mbele ya kamera, baba zenu wakadai...
Wewe na wenzako akina Makondakta mnazidi kukitokomeza kaburini chama chenu kwa kubuni mbinu chovu za kuzuia mafuriko ya mabadiliko ambayo kwa hali yoyote hayazuiliki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.