Recent content by Mge Jr

  1. Mge Jr

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane faida na changamoto za kuweka milango ya aluminium kwenye nyumba ya kuishi kama mbadala wa milango ya mbao milangoni?

    Kwa urembo milango ya aluminium ni the best, ila kiusalama mbao ndio nzuri.
  2. Mge Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada yangu anaishi na bwana huu mwaka wa 4 hawajafika nyumbani kutambulishana wala kulipa mahari

    Kama hataki kuja kujitambulisha nendeni nyie tu mkajitambulishe asiwaletee ujinga dada na jamaa yake😎
  3. Mge Jr

    JamiiForums Tanzania Siku yangu ya kwanza kuingia ofisi za kubeti kwa bahati mbaya

    Kama wanafanya ndio ajira sio sawa ni tatizo maana hata wao wenyewe betting wanasema beting isiwe kama ndio chanzo cha kipato, ila shida wabongo hatujali tahadhari kama matangazo ya pombe yanavyosema unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako.....
  4. Mge Jr

    JamiiForums Tanzania Siku yangu ya kwanza kuingia ofisi za kubeti kwa bahati mbaya

    Kuna nchi zimehalalisha uzalishaji wa bangi na zipo mbele kimaendeleo zaidi yetu sisi, ili mradi iwekwe clear lengo lake. Kwa hiyo kama ww haubeti sawa waachie wanaobeti wajaribu bahati zao maana kuna ambao hawabeti na wapo ovyo sana kiuchumi kuliko wanaobeti
  5. Mge Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

    :D:D:D
  6. Mge Jr

    JamiiForums Tanzania Nashauri: Kuongea Kiingereza kwa unyoofu (fluency) ibaki kuwa kigezo cha kumpima Mtanzania mwenye Degree

    Naomba utushauri na wa Diploma na certifcate tupimwe kwa kipimo gani?
  7. Mge Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri kuhusu suala la hili la upimaji wa ardhi

    Kama kilikuwa kimepimwa na kilikuwa na mpaka Namba ya kiwanja tayari (Plot Number) na tayari umekiuza nusu, unapaswa uwaite tena wapimaji ili wafanyie amendment mchoro wa ramani ya hilo eneo wa awali ili waweze kutoa viwanja viwili kutokana na ukubwa wa eneo lililobakia. Baada ya hayo...
  8. Mge Jr

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimepata mke tayari, nashukuru wote mlionitafuta

    Najiunga na wale wanaokaaga siti ya mbele
  9. Mge Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sipendi tabia ya mama kuingia chumbani kwangu bila hodi pamoja na kunilazimisha kunyoa ndevu zote

    Hili ndio alitakiwa aanze nao ili watu wajue jinsi ya kumshauri
  10. Mge Jr

    JamiiForums Tanzania Kila nikiweka kibubu cha kununua gari kinaporomoka

    Nakazia
  11. Mge Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fungieni huu wimbo unahamasisha Umalaya kwenye Jamii

    Ungeutuma ingependeza maana huo wimbo wengine hata hatuujui
  12. Mge Jr

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Kisheria, ndugu yangu kapachikwa ujauzito

    Hapo busara zinahitajika zaidi kuliko hasira
  13. Mge Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe mtarajiwa hataki binti yake aolewe na Kabila langu

    Kama binti ana mimba busara itafanya kazi yake tu.... Kaa kwa kutulia tu
  14. Mge Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu kanitukania Mama yangu, naombeni ushauri jamani

    Wanasemaga mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe🤔
Back
Top Bottom