Recent content by mganga s ibrahim

  1. M

    Kwako Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa

    Asante kwa swali lako ndugu, mimi kama Senior driver nashauli hivi kwa serikali: Serikali inatakiwa ihakiki mikataba ya madereva wanaoajiliwa na wamiliki wa mabasi pamoja na magari ya mizigo. Tatizo kubwa lipo kwa wamiliki wa vyombo hivyo,kwani utakuta wanaajili madereva ambao hawana sifa, ili...
  2. M

    .........Sad........Abanwa na Kichwa cha Scania na Kufariki Papo Hapo

    Hi mambo, umependeza profile yako nakuomba uwe rafiki yangu, kwa ss niko safarin Mbeya kikazi. Tuwasiliane kupitia no-0767841861
  3. M

    Umetafuta Fundi wa gari yako? Uliza chochote kuhusu gari lako

    Sawa ww ni fundi wa magari. Mimi ninatumia gari Toyota Land Cruiser (hardtot -1HZ 78) ina tatizo la gear namba tano haingii, imeshushwa gear box mara tatu kwa siku lakini tatizo liko pale pale nifanyeje??? ukiwa kama fundi.
  4. M

    Kwako Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa

    Asante sana ndugu yangu, kwani umenigusa sana, mimi ni senior driver. Lakini nasikitika sana tena zaidi ya sana, hawa madereva wenye matendo kama hayo wanaisababisha fani yetu kuonekana sio taaluma kama taaluma nyingine, kama vile:- Rubani, Tabibu na n.k. Kama ulivyotangulia kusema kuwa:-salam...
  5. M

    Hauna ajira kama mimi? Twende Iceland, ukioa mwanamke unalipwa 10 mil kila mwezi

    Nimeipenda jamaa yangu, wacha tukasake visa nitakujuza mkuu, mm hata usiponitumia picha ya hao wanawake wa huko sina noooma mie
  6. M

    Yajue mambo 10 ya kuvutia kwa Nyoka Anaconda

    Duu, asante sana tena zaidi ya sana. Kwa kunipa elimu nzuri sana ya kuhusiana na joka hilo anaconda, pia maelezo yako yamejitosheleza kiasi kwamba sina swali juu ya maada hiyo. Sasa kwa Tanzania tunae nyoka anaeitwa koboko au huitwa kwa lugha nyingine (black mamba) je unaweza kunipa elimu kuhusu...
  7. M

    Tanzania tulichelewa kumpata Rais kama Magufuli

    Waeleze waeleze hao, watu hawaoni
Back
Top Bottom