.........Sad........Abanwa na Kichwa cha Scania na Kufariki Papo Hapo

Lock huwa zinafyatukaga nshafanyaga kwenye Fuso kuna cku jamaa ilimkosa kosa

Kila fundi mekanika anafundishwa kuhusu safety/usalama kwanza - vitu kama jeki za hydraulic na mechanical unaambiwa ukizitumia kunyanyua gari au kitu chochote kizito hakikisha unaweka mawe au gogo/kigingi chini ya chasis ili jeki ikifeili mawe/gogo linazuia gari lisikuponde ukiwa unatengeneza kitu chini ya gari - tatizo waswahili tunapuuzia vitu sana uwezi kukuta mzungu anafanya uzembe kama huo, wako makini sana.

Sasa tuje kwenye Cabin ya Scania, hiyo inanyanyuliwa na hydraulic jeki iliyojengewa ndani kwa ndani - fundi akisha linyanyua alipaswa kuliwekea walao kipande cha mti kuzuia cabin asirudi ghafla jeki ikifeili - akikosa kipande cha mti basi alipaswa kusogeza gari karibu na mti akafunga kamba ya katani cabin iliyonyanyuliwa kuzuhia isirudi nyuna ghafla kama jeki ikifeili.

Mafudi wanapaswa kutumia common sense siyo kukurupuka tu. Kifo hicho kimenisikitisha sana.
 
naomba kujua mnaongelea nini

link....video... anything...
My sister.. Sisi tupo USA baby.. Hizi ni matukio ya huku Dallas.. Huko kwala vumbi stori hizi hamtozielewa..
Ila fanya ku ni pm namba yako nitakutumia clip watsapp..
 
My sister.. Sisi tupo USA baby.. Hizi ni matukio ya huku Dallas.. Huko kwala vumbi stori hizi hamtozielewa..
Ila fanya ku ni pm namba yako nitakutumia clip watsapp..
leo hii dunia ni kijiji bro. kwa mawazo hayo huko US baby Utakuwa umefikia mbagala. (BTW Texas is the cheapest state in the US :D)

no YouTube vid?
or tell me the story in short I'll search for it myself.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom