Recent content by mgailukwa

  1. mgailukwa

    Je, naweza kuhamisha mkopo kutoka Benki ya ABC kwenda benki zingine kubwa?

    Omba barua ya balance ya mkopo wako Banc ABC then nenda na barua Crdb.
  2. mgailukwa

    Wamama kutembea na vijana ni uungwana?

    Kijana wa hovyo 😄
  3. mgailukwa

    Nimepotea naona giza kwa hii anasa

    Kila unapofanya hiyo dhambi make sure unatubu na kujutia, Ukifanya hivyo Allah atakuonyesha njia ya kuacha.
  4. mgailukwa

    Mahusiano miaka 5, ndoa miezi miwili imevunjika Shida ni nini?

    Mkishafunga ndoa mnakuwa mmehalalisha tendo kitu ambacho shetani hataki, Shetani atafanya juu chini ndoa ivunjike ili mrudi kwenye uzinzi.
  5. mgailukwa

    Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Daah aisee nimesoma kuanzia post ya kwanza mpaka ya mwisho,kisa kimetulia sana. Yani kwa jinsi ulivyo mpenda khumbu najiona mm kabisa niliyo mpendaga demu wangu wa olevel. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  6. mgailukwa

    Kauli gani iliwahi kukukosesha usingizi kwenye mahusiano?

    Daah aisee aliniambia " There is no future between us" nikala cha mbavu kiaina hiyo.
  7. mgailukwa

    Kama uliwahi kuachwa na mpenzi wako baada yeye kupata kazi hebu tukumbushane ilikuweje

    Aisee mm ex wangu alinipiga chini baada ya yeye kupata boom, alafu mwamba nikakosa. O-level na advance tuliishi fresh tu ila baada ya mtoto kupata boom nikaambulia cha mbavu.
  8. mgailukwa

    Godbless Lema: I won't return to persecution paradise

    Daah! Aisee kama isingekuwepo jamii forum haya mambo nisinge yajua....maana vyombo vya habari vyote vinaogopa.Inasikitisha na inauma sana.
  9. mgailukwa

    Mpenzi wako wa kwanza kabisa yuko wapi?

    Daah mkuu umenikumbusha mbali, mpenzi wangu wa kwanza tulidumu miaka minne nilikuwa nampenda sana but sikufanikiwa kumla. aliniambia yeye ni bikra tusubiri mpaka tuoane ila baada ya kuachana nikasikia kuna mchizi kamtafuna na mimba juu,now ana mtoto wa kike ana miaka miwili. Inauma sana aisee
  10. mgailukwa

    Mabloo Twitter kuna madem wakali

    Daah! Imenibidi niende Twitter kuhakikisha Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mgailukwa

    Maneno makali ya kukatisha tamaa ulioambiwa ulipomtongoza

    Mimi aliniambia hawezi kuchanganya mapenzi na shule Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mgailukwa

    Naweza kuwa dereva wa Uber ilhali mimi ni binti?

    Nikutoe tu hofu hautakuwa dereva wa kwanza wa kike kuendesha uber....wako wengi tu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mgailukwa

    Kuna uhusiano wowote wa Waziri Jafo kuwa mwislamu na hasira kali aliyopata hadi kumsimamisha mtumishi mlevi kazi?

    Waziri Jafo amefanya jambo la msingi sana Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom