Habari zenu wakuu! Mimi ni binti niliemaliza chuo na kama tunavyojua ugumu katika soko la ajira nikafikiria wazo ila nikaona si mbaya nikawashirikisha wanajamvi la JF kwa ushauri,maoni na mapendekezo yenu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza chuo ndio kimeisha na sijajua mustakabali huko mbele ila hapa nyumbani kuna gari aina ya IST nikafikiria nifanye process niisajili kama Uber ili iweze kuniingizia kipato cha kila siku kuliko kukaa nyumbani na kusubiri kula kulala.Wasiwasi wangu ni sijawahi kuona dereva wa kike katika sekta hii nikapata maswali tofauti km je huwa hawaruhusu? Au ni hatari sana katika kazi hiyo?
Pia kwa wazoefu wa kazi hii kama gari ni yako(ya kwenu) inalipa vizuri? Process zake zinaweza ku range kama shilingi ngapi mpk iingie kazini?
Ushauri wenu nadhani utanijenga na kunisaidia.
Karibuni kwa maoni zaidi..