Kamba 1 ndio nani,halafu sgr ipi ipo construction huko ukunduni,eti construction everywhere!njoo dar uone ilivyobomolewa mitaa mingi barabara za mradi wa DMP na BRT phase 4 inaendelea
Jpm kwenye miaka yake 6,hajawahi kutoa ajira serikalini,hajawahi kupandisha mishahara,vile vile hajawahi kupandisha madaraja,yy ndio aliesababisha wamachinga kufanya biashara kila sehemu wanayotaka wao hata ikiwa barabarani,huyu mama mnyonge mnyongeni anaajiri sana hasa sekta ya afya na ualimu...
Hao wapiga kelele wa mitandaoni,kila kitu wanaleta siasa,ielewe siasa ya TZ mpinzani anapinga kila kitu na kuchukia kila kinachofanywa na chama kilichopo madarakani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.