Recent content by Mgafilika

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je enyi wadada wa kibongo mwaweza hii!!

    Ulitaka ale mwenyewe lazima waliwe bwanawe
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    Anakupenda ndiyo hilo ni wazo la siku hujakosea, ila ya kesho na kuendelea hujui.Mungu akupe maono ya upande wa pili.Hujui unalotaka kuliteda nakusihi sana dhibiti hiyo tamaa yako juu ya huyo bwana mpita njia
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili za wanawake bwana!

    Naombeni ni mwambie maana ya kugegeda.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukimwi unaniuwa kwa haraka jamani

    Hofu ni ugonjwa mbaya sana,ndugu yangu tuliza akili yako.Uliposikia mdada ni mwathirika ulipanic.Ndicho kinachokusumbua nenda angaza watakupa ushauri mzuri sana.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Askari polisi hawa hawafai

    Mwema mwenyewe mdebwedo amkemee nani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwendesha Mashtaka Mkuu ICC atua nchini

    Mkuu huyu bwana hana uwezo wa aina yoyote ile.Zaidi ya kutetea uozo wa serekali dhalimu ya jk.
  7. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: CHADEMA yabadili Mbinu za kuwania IKULU 2015; Pia yazinduca M4C Jimbo la MBEYA

    chadema nakupenda kwa moyo wangu woteeeeeeeeeeee
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kukata mzizi wa fitna,Uitishwe mdahalo kati ya vijana waliohamia CHADEMA na wale waliohamia CCM .

    wajuu peke yake ndiye mpambanaji hawa wa chini wauza sura tuuuu wewe waangalie vizuri
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kukata mzizi wa fitna,Uitishwe mdahalo kati ya vijana waliohamia CHADEMA na wale waliohamia CCM .

    Kwani wewe unapataga muda wakuangalia tbc mimi labda kipindi cha bunge tuu ndiyo naangalia tbc
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kukata mzizi wa fitna,Uitishwe mdahalo kati ya vijana waliohamia CHADEMA na wale waliohamia CCM .

    Yani upo sawa kabisa yani inatakiwa watoto wote wawe wamelala
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kunyoa sehemu za siri.

    Hatuna Mungu ---- aliyetuamuru tusinyoe sehemu za siri.Huyo ni wako na si wa wote.
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume anahitajika

    Mina miaka 47 na nina watoto wawili niko singo pia je ,Ninafaa Dada?
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta a real man wa kula naye bata.

    Hapo umenena na awe tayari kuliwa hivyo vya kuliwa hana pakukwepa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mkono mwingine wa Mwigulu Nchemba ndani ya CHADEMA huu hapa!

    Ni marufuku kabisa mkuu haswa mwigulu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mbowe kuondoka Lake zone,Kamanda Mawazo ahamia visiwani

    Mawazo ni mwanachama wa cdm kama walivyo wengine ila alitoka kule magamba kwakuwa walimuzi aliona akiendelea kuwa ukoni nidhambi kubwa isiyo sameheka mbele ya mwenyenzi Mungu kwamaana uko magamba unatakiwa kuwa muongo mwizi tapeli wa mali za Watanzania wenzako
Back
Top Bottom