Hii nchi inazid kuongeza maajabu ya dunia, sasa hivi nasikia kuna vyuo vikuu vimenzishwa havina hata wahadhiri zaid ya watatu, yan karibu wahadhiri wote ni wa kukod (visiting lecturers )
mi navvojua wakat wa kufanya mitihan ya mwisho hatuandik majina bali namba za mitihan na ivyo ni vigumu kwa wasahaiishaj kujua kama mtahiniwa ni muislam au mkristo na kama ingelikua ivyo basi mimi na kaka zangu tunsingefaulu kuingia chuo kikuu
yan hizi ndio unaziita busara, wanaeneza chuki za din na kusababisha mauaji wakiwekwa ndan unasema watolewe ili kuleta aman... kwel na BAADHI viongozi wa wakristo wangekua wanahamisha chuk ungesema waachiwe..?
tusilalamike sana kwan ujinga wetu ndo umesababisha tujaze wabunge weng wasio makin na HAYAWANI,
NJIA ISIYO SAHIHI HULETA MAJIBU YASIYO SAHII PIA NA NDIO WABUNGE WENGI WETU WALIVYO
Na pale walipokua wanatetea haki ya dhamana (haki kikatiba) kwa shekh Ponda (muislam)
(kupitia M.marando) walikua wanaendeleza ukristo au, tuache mambo ya udin sisi wote ni ndugu jaman
na walipokua wanadai/wanaomba shekh ponda apewe dhamana kama haki yake kikatiba ( kupitia M.Marando) walikua wanatetea mkristu ( yan sheh Ponda) au? wakat mwingne tuwe tunantumia hekma kabla hatujatoa mawazo yetu
na ni hao hao wakristu ambao wanawahudumia watu wote ( wakiwemo waislam) katika mashule na hospital zao bila ubaguz na ni hao hao ambao hawajaenda kuchoma misikit (km ilivyotokea mbagala na zanzibar) wala nyumba za ibada za watu wengne ambao hawafanan nao kiiman
na hii inayojiita jumuia ya nchi za kiisilamu mbona hua haisaidii pale mmoja wa member wao anapoonewa na wengne wasiokua wanachama? mfano iraq, palestina, na sasa hata syria nchi ambayo mauaj yanasababishwa na nchi hiz zinazojiita mataifa mkubwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.