Hahahaha acha upuuzi, bado tu mpaka leo unalingia cheo na nafasi aliyopo baba yako? Sasa kama unadhani kwa cheo chako na nyadhifa ya baba yako hamna kitu unaweza fanywa mbona unakuja kutulalamikia humu kuhusu kusumbuliwa na huyo mdada?
Kwanini usitumie cheo chako na yadhifa alio nayo baba ako...
Habari zenu ndugu zangu, mimi ni kijana nilie maliza elimu yangu kwa level ya bachelor mwaka 2017, toka kipindi hicho nimejaribu kufanya vitu tofautofauti ikiwemo vyakujiajiri binafsi na vyengine vyakujitolea katika makampuni ila bado sijaona unafuu wa maisha.
Nimeamua kufikilia zaidi namna ya...
Habari zenu ndugu zangu, mimi ni kijana nilie maliza elimu yangu kwa level ya bachelor mwaka 2017, toka kipindi hicho nimejaribu kufanya vitu tofautofauti ikiwemo vyakujiajiri binafsi na vyengine vyakujitolea katika makampuni ila bado sijaona unafuu wa maisha.
Nimeamua kufikilia zaidi namna ya...
Habari zenu wana Jf, napenda sana kufanya biashara ya viungo vya chai na vya chakula kama vile iliki, tangawizi, mdarasini nk ila changamoto nilionayo mpaka sana ni kujua ni maeneo gani vinalimwa kwa wingi ili niweze kwenda kufungasha moja kwa moja toka kwa wakulima .
Pia nakaribisha mtu atakae...
Uko wapi, nahitaji watu wakushilikiana nao katika kilimo kwakua wewe unalo shamba tunaweza zungumza jinsi yakushilikiana namba zangu ni +255 653 231 798 na +255 744 601 144
Kiongozi mimi ni mmoja wapo ninaetafuta watu wenye mawazo na tamaa za kujikwamua katika hali tuliyonayo , kama kweli umeamua tukutane tujue tunaanza vipi +255 653 231 798
Ipo Kinondoni barabara ya kutoka posta kwenda makumbusho.
Ni ya nne kutoka barabara kuu ( barabara ya mwendo kasi) upande wa kushoto ukitokea makumbusho.
Ni kubwa ndani na inafasi ya kutosha kwa nje kwaajili ya gari zitakazo ingia kuleta mizigo pamoja na parking .
Kodi ni Tsh 200,000/= kwa...
Zipo mbili
1.La ukutani
Urefu - futi 4
Upana - futi 1
Kimo - futi 3
Linegawanywa sehem tatu
2. La chini
Urefu - futi 4.5
Upana - futi 1.25
Kimo - futi 3
Limegawanyika sehem mbili
Kabati zote mbili kwa ujumla naziuza Tsh 350,000/=
Na hivyo Vioo vya pendeni ni offer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.