PIKIPIKI MBILI ZA MKATABA ZINAITAJIKA

PIKIPIKI MBILI ZA MKATABA ZINAITAJIKA

naliwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
479
Reaction score
1,065
Mimi Ni mmiliki wa kampuni, nina vijana zaidi ya kumi ambao kazi zao ni za field , ivyo nilitaka kununua piki piki lakini katika michanganuo nikaona ni bola nitafute pikipiki za mkataba kwa sababu ghalama za pikipiki za mkataba ni ndogokuliko kwenda dukani kununua cash ivyo wana jf nakaribisha fursa hii kwa anaeweza kununua pikipiki anitafute tuongee malipo ni kwa mwezi na sio kwa siku

Tukishaingia mkataba tunakulipa pesa ya mwezi mmoja kabla yani kama mkataba kwa siku 10,000 tunakulipa kwa 300 000 kwa mwezi kwa miezi ambao tumekubaliana

Mikataba yote tunaingia kisheria maana kampuni imesajiriwa na inaleseni ya kuendesha biashara

Pikipiki zinazoitaka ni BOXER au TVS

KARIBUNI
 
Kwa hiyo Pikipiki mtakua mnaendesha nyie wenyewe? Au mnapakizwa tu?
 
Samahani kidogo Mkuu, sijakuelewa naomba ufafanuzi zaidi:
Unachomaanisha ni kwamba tuseme mimi nina Pikipiki yangu.
Kwa siku nikibangaiza bangaiza napata kati ya 10 hadi 15 Alfu.
Unataka nilete pikipiki kwako tuingie Mkataba kati ya mimi mwenye Pikipiki na wewe unayetaka kuikodi
Ili kila mwezi Unilipe Mshahara wa shilingi Madhlani 300,000/= kwa maana kwamba mimi niwe nimekaa tu nikingoja laki tatu zangu kwa mwezi na wewe ukiwa sasa ndio mbangaizaji mkuu
 
Nilikua namaana kua tunaingia mkataba labda wa miezi kumi. Au kumi na mbili kwaiyo baada ya miezi kumi au kumi na mbili kuisha iyo pikipiki itakua mali ya kampuni, katika iyo miezi kumi kila mwezi nakulipa 300,000 bila kukosa
 
Dereva unaye wewe mwenyewe?
 
Unahitaji ngapi? Na mkataba wa Muda gani? Mi ninazo 5
Mimi Ni mmiliki wa kampuni, nina vijana zaidi ya kumi ambao kazi zao ni za field , ivyo nilitaka kununua piki piki lakini katika michanganuo nikaona ni bola nitafute pikipiki za mkataba kwa sababu ghalama za pikipiki za mkataba ni ndogokuliko kwenda dukani kununua cash ivyo wana jf nakaribisha fursa hii kwa anaeweza kununua pikipiki anitafute tuongee malipo ni kwa mwezi na sio kwa siku

Tukishaingia mkataba tunakulipa pesa ya mwezi mmoja kabla yani kama mkataba kwa siku 10,000 tunakulipa kwa 300 000 kwa mwezi kwa miezi ambao tumekubaliana

Mikataba yote tunaingia kisheria maana kampuni imesajiriwa na inaleseni ya kuendesha biashara

Pikipiki zinazoitaka ni BOXER au TVS

KARIBUNI
 
Sidhani kama imekaa sawa ina maana mm ndio naajiriwa tena kwa pikipiki yangu kusubiri laki 3 kila mwisho wa mwezi.hahaaa haipo sawa hii ki2 😂😃
 
Sidhani kama imekaa sawa ina maana mm ndio naajiriwa tena kwa pikipiki yangu kusubiri laki 3 kila mwisho wa mwezi.hahaaa haipo sawa hii ki2 [emoji23][emoji2]
Wewe unatoa piki piki tuu,swala la dereva, service na mafuta ni juu yao.
 
Jaribu kuwasiliana na wachezaji wa simba wanazo za kutosha,ukimcheki ustazi kagere atakupa hata bure.
 
Xawa mkuu
Kwa kifupi tuseme ni hivi: Wewe unataka mtu ''akuuzie'' pikipiki mpya ambayo utakuwa unamlipa kidogo kidogo kila mwezi kwa muda mtakaokubaliana. Wewe utamlipa mpaka itakapofikia bei ya pikipiki ''aliyokuuzia'' na ukimaliza deni pikipiki inakuwa yako na yeye anabaki na fedha mliyokubaliana! Ndiyo hivyo?
 
Samahani kidogo Mkuu, sijakuelewa naomba ufafanuzi zaidi:
Unachomaanisha ni kwamba tuseme mimi nina Pikipiki yangu.
Kwa siku nikibangaiza bangaiza napata kati ya 10 hadi 15 Alfu.
Unataka nilete pikipiki kwako tuingie Mkataba kati ya mimi mwenye Pikipiki na wewe unayetaka kuikodi
Ili kila mwezi Unilipe Mshahara wa shilingi Madhlani 300,000/= kwa maana kwamba mimi niwe nimekaa tu nikingoja laki tatu zangu kwa mwezi na wewe ukiwa sasa ndio mbangaizaji mkuu
Nadhani ndivyo anamaanisha.
 
Back
Top Bottom