Recent content by MG 18 kidon

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi Kurusha ndege kila siku angani ni matumizi mabaya ya rasilimali zetu kama wauwaji na watekaji mmewanyamazia sasa mnatafuta nini?

    Ni fursa ya UPIGAJI huoo, tayari Kuna pesa inachezewaa kwenye vitu havina tija kwa Taifaa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Sio kwel hyo n spinning inatengenezwa ikitokea wananchi wakalazimisha mabadiliko basi awe amepotea kama daudi balali.. ngoja tuone yajayoo!!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shuhudia pahala wanapotegemewa kuagiwa marehemu WALIOKUFA kwa ajari ya moto na gari Wilaya ya Same

    Acha kuandika kwa mihemko ofisi ya mkuu wa mkoa wa KILIMANJARO Jana, ilitoa utaratibu wa jinsi ya kuwaaga wahanga wa ajali ya same, na ilirudhwa kwenye taarifa ya Jana usiku na vyomba mbalimbali vya HABARI na mitandao ya KIJAMII .. acha kupotisha umma..
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya Wajumbe Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa Tundu Lissu

    Chawa kazini,umelipwa lakin kabla ya kuja kuandika huu ujingaa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya MONUSCO ni kulinda Amani au kuisadia Congo dhidi ya M23?

    Kipigo kiendelee... Piga kunguru
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Umeongea maneno ya faraja sana japokuwa tushavurugwa akili,mwil na roho.Mm nnimeomba tangu tangazo 18/08/2021had hiz, jina linaishiaga usaili wa barrack, mkeka ukitoka hola.Acha nikawe mvuvi na degree yangu!!!!!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye mabweni ya UDOM

    Tatizo limeanza muda mrefu... Kwa Sasa wafika level ya usugu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mabasi 70 ya Mwendokasi yameharibika, RC Chalamila atoa wiki 2 yarekebishwe

    DART kuwa mwenyewe bila mshindan ndio chanzo cha huduma mbovu kwa wasafir wakat wa asubuh na jion .
  9. M

    JamiiForums Tanzania Matapeli wakubwa 5 kuwahi kutokea Tanzania

    Saaafi hahaha
Back
Top Bottom