Recent content by mfumo

  1. M

    Je, jamaa yuko sahihi kuhusu Wachungaji?

    Kujibu swali lako huyu jamaa yupo sahihi, hatuwezi Tena kuruhusu wazee wetu wapigwe fimbo na hawa mashetani binaadamu.
  2. M

    Hivi kuna maisha baada ya kifo?

    Grace, wacha nieleze kidogo kuhusu maneno ya Allah kuhusu Roho; Kwanza mimi nayakubali majibu ya Quran kwa asilimia zote. Sina wasi wasi hata kidogo na kuamini Qurani. Pili, sasa wacha nieleze kuhusu Roho. Roho ni siri ya Allaah (‘Azza wa Jalla), hakuna ajuaye siri hiyo hata Mtume Wake (Swalla...
  3. M

    Hamse Abdi Barre: Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake

    Sikiliza Chizi, ilo jina sijui kama utanielewa any way, sisi waisalmu tunakatazwa na Allah kupitia kwa Mtume wake Mwarabu aitwae Muhammad swalallahu Alaih waalih wasallam. Kwa hiyo kwa hili ni kosa kupaeana mikono na mwanamke. waziri huyu yupo sawa kabisa kwa 100%. Soma hii hadithi...
  4. M

    Hivi kuna maisha baada ya kifo?

    GRACE NASHKURU KWA KUYAPOKEA MAJIBU NILIYOKUPATIA. SASA UNATAKA KUJUA MAANA YA KUFA. KWANZA KABISA KABLA YA KUJIBU SWALI LAKO NAPENDA UFAHAMU TU KUWA QURANI TUKUFU IMESEMA SAHIHI MNO KUWA KILA NAFSI ITAKUFA NDIO MAANA UNAONA SI MATAJIRI, MASIKINI, VIONGOZI NA WENGINEO WANAKUFA NI KWA SABABU YA...
  5. M

    Hivi kuna maisha baada ya kifo?

    HABARI DRACE GLORY, NAKUSHUKURU SANA KWA KUULIZA SWALI HILI KWA KWELI JIBU LA SWALI HILI NDILO LITAKALOKUFANYA UJUE UISHI VIPI HAPA DUNIANI. MAJIBU MENGI YA WALIOKUJIBU HAPO JUU WAMEKOSEA NA HUTAPATA MAJIBU SAHIHI KWA MUELEKEO WA MAJIBU NILIYOYAONA BALI UTAPATA MKANGANYIKO ZAIDI. UKWELI USIO...
  6. M

    Mahakama ya kimataifa ya Haki yaikuta na hatia Israel

    👆taarifa hii ikiwafikia wayahudi wa Kitunda na Pugu watafurahi sana😀
  7. M

    Mashtaka dhidi ya Israeli mauaji ya Kimbari ICC kesi kusomwa tarehe 11 January

    huyu bila shaka ni Myahudi wa Kitunda😀
  8. M

    Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

    Sikiliza Wewe muabudu MIDOLI...Mnajipendekeza saaana kwa wayahudi lakini wao mayahudi hawakupendeni mpaka wanafikia hatua ya kukuueni. Wakristo wa Tanzania pumbavu sana wenzao Duniani wanaandamana kumpinga Myahudi wao wanafurahia.
  9. M

    Gutteres UN: Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya Hamas hayakutokea bila sababu

    Myahudi hachagui hata wakristo wamepata kichapo. Wewe unampenda Myahudi wakati wewe mkristo anakuona ni mtu usiye na akili unaabudu midoli. Hahah
  10. M

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Wewe ndio pimbi, Ritz anachotaka kujua ikiwa kama kulikuwa na ushirikishwaji wa wananchi kwa MoU ya TEC na Serikali ambapo pesa za umma zinaenda kwa mapadre halafu hii wanaisumbua Serikali.
  11. M

    Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    INNALILAHI WAINNAILAIHI RAAJIOUUN Mkuu achana na haya Mambo. Tunayaona ya kawaida tu lakini ipo siku wala haipo mbali tutalia na kusaga meno tukijutia matendo yetu maovu tuliyoyafanya na hapo hakutakuwa wa kutupa msaada. TAKE CARE.
  12. M

    TANZIA Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru, Mzee Bilali Waikela amefariki dunia

    INNALILAHI WAINNAILAIHI RAAJIOUUN, Allah amlaze pahala pema mpigania Uhuru shupavu.
  13. M

    Siku 19 za Urais wa Samia Hassan Suluhu

    Alhamdulillah, angalau sasa wananchi tunapata maneno mazuri, matamu kama asali, maneno yenye matumaini makubwa ya maendeleo ya taifa hili, maneno ya kumtoa nyoka pangoni....Mama Samia ... the voice of truth.
  14. M

    Haya hapa masharti yalioifanya Serikali isite kuendelea na mradi wa bandari ya Bagamoyo

    Hapa ndio nakumbuka maneno ya Kikwete; ukitaka kula kwanza ukubali kuliwa.
Back
Top Bottom