Recent content by mFuKuZa nDoTo

  1. mFuKuZa nDoTo

    JamiiForums Tanzania True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

    [emoji855]
  2. mFuKuZa nDoTo

    JamiiForums Tanzania Combination hii Msigwa, Charles Hillary na Zuhura Yunus ni hatari kwa wanahabari mazuzu mliopo Serikalini jitafakarini

    Haniu alikuwa anapwaya sana kwa hili nakubaliana na rais, haiwezekani taarifa ya ikulu iandikwe kiholela tu, mara achaganye fonts mara capital letters zikae hovyo mara abold bila mpangilio
  3. mFuKuZa nDoTo

    JamiiForums Tanzania Amejenga hii bila mkopo wa benki, ilimchukua miaka nane kumaliza

    Ooh sikuelewa, Nilifikiri umelenga watu wote
  4. mFuKuZa nDoTo

    JamiiForums Tanzania Ndoa inaelekea kunishinda

    Mara una mchumba mara umeolewa mara mjamzito maumivu makalioni Una kideri
  5. mFuKuZa nDoTo

    JamiiForums Tanzania Amejenga hii bila mkopo wa benki, ilimchukua miaka nane kumaliza

    Usipostaafu? Madame hatuna mkataba na Mungu Nashauri kufanya yaliyo ndani ya uwezo wetu ili tufanye kwa muda na tufaidi tulichofanya Nyumba yangu nimejenga ya kawaida kwa mwaka mmoja na mwaka huu nitafanya finishing kwa mkopo ili niishi Sasa kujenga miaka 12 boonge la jumba huku ndani ya...
  6. mFuKuZa nDoTo

    JamiiForums Tanzania Kicheko cha Shahidi wa 12 wa Jamhuri Luteni Denis Urio Mahakamani kina maana gani?

    Namba ipo na inaonekana lakini wanavyoulizana kiboya sana
  7. mFuKuZa nDoTo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nipo njia panda juu ya mahusiano yangu

    Wapi tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. mFuKuZa nDoTo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nipo njia panda juu ya mahusiano yangu

    Olewa naye, kosa lake ni kumleta nyumbani tu lakini usidhani mkioana hatapiga nje na hautapata mwanaume asiyepiga nje hata sisi tunapiga nje kiufupi wanaume asilimia kubwa tunapiga nje lakini tunaheshimu ndani Kama unamuacha muache kwa kumleta ndani sio kwa kupiga nje NIMEKUCHANA[emoji34][emoji34]
  9. mFuKuZa nDoTo

    JamiiForums Tanzania Kicheko cha Shahidi wa 12 wa Jamhuri Luteni Denis Urio Mahakamani kina maana gani?

    Kuna mambo wanabishana ila ni ya kipopoma sana na uhaba wa ufahamu wa mitandao Kibatala hafahamu mitandao na anayejibu hafahamu Kibatala angefahamu asingeuliza urojo, Urio angefahamu angejibu kirahisi sana Wote wameshindwa kujua namba inaonekana wapi katika telegram
  10. mFuKuZa nDoTo

    JamiiForums Tanzania Amejenga hii bila mkopo wa benki, ilimchukua miaka nane kumaliza

    Jobless watakuandama sana
  11. mFuKuZa nDoTo

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kiongozi Mkuu wa Chama inayoshikiliwa na Zitto Kabwe inapatikanaje?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. mFuKuZa nDoTo

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliowahi kufanya na kufanyiwa matukio ya Kikatili na kutisha maishani

    Alikujuaje kwamba umevaa hivyo
  13. mFuKuZa nDoTo

    JamiiForums Tanzania Niombeeni ndugu zangu, nina ugonjwa wa ajabu

    Kidukulilo alibadili jina?[emoji1][emoji1]
Back
Top Bottom