Recent content by mfukunyuk

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna mapinduzi Tanzania:jinsi gani CCM walivyoweza kuzuia mapinduzi ya vijana Tanzania

    Mi naona izo mbinu au akili ulizotaja hawa viongozi hawana ila hawawezi tu kuongoza au kuleta maendeleo maana umaskin n africa nzima kasoro Africa kaskazin kwa waarabu au Africa kusin kwa Makaburu. Na wananch kushndwa kuchukua hatua n nature tu ya jamii kwamba kiujumla nyie n watu wa aina...
  2. M

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Izo n njia mbili za kupata ujumbe; 1.Njia ya KIMWILI _ Ambayo chanzo chake n MAZINGIRA _ MILANGO YA FAHAM - FAHAM(Ubongo) - MAARIFA au NAFSI ambayo ndan yake kuna Akili, Hisia na Utash. Maarifa n kitu ambacho tayar unakijua kwaio kwenye nafs ya mtu kitachohusika zaid n Akili na Utash/...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Paul Chacha hakuna alichokosea, vyombo vya dola lazima vitii serikali ya chama tawala chochote.

    Kwamba CCM au uyo Chacha ameshindwa kabisa kutofautisha kati ya kutumia vyombo vya usalama na kumiliki vyombo vya usalama.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Ndo apo neno "uongozi n busara linaibuka". Kuna vitu havipo kwenye sheria ila havitakosekana kwenye mitazamo ya watu. Kwaio una balance idadi ili kuondoa mtazamo kwamba unapendelea iman yako. Maana kama n weled tuko sawa haijalish din gan na kuna wengne wakiona majina ya upande mmoja wa iman...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Ukiritimba wa Kiroho: Je, ni Kweli Mwanadamu Anaweza Kumjua Mungu Bila Kiongozi wa Dini?

    IMAN n Hisia binafsi kati ya wewe na Mungu wako au na Nafsi yako. Iman ambayo ukiitengenezea sheria na ukapata wadau bas apo ndo inakuwa DINI au taasisi. Kwaio iman binafsi n bora pia maana ndio chanzo cha iyo Din
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuzimwa kwa Umeme na Intaneti, Askari Kumwaga Barabarani Nchi Nzima Siku ya Hukumu ya Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu?

    Usichokijua barabaran kulikuwa na ulinz wa jeshi. Polisi wakaenda mtaan kwa watu waliotulia majumban kufanya mauaji unayoyasikia. Hao waliotulia nyumban walihamasishwa nn ilhal wametulia nyumban
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, Dunia ilianzia Mashariki ya Kati?

    Chimbuko la mwanadam kuwa masharik ya kati n kama mngoni afukuzwe Africa kusin na kukimbilia Tanzania hafu chimbuko lake liwe Tanzania. Bustan ya Eden ilikuwa wap? maana masharik ya kati n eneo aliloamua kuish baada ya kufukuzwa alikofukuzwa na ikizingatiwa wakat huo dunia ilikuwa Pangea na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya uhaini haina faida kwa taifa, inawanufaisha wanasiasa zaidi kuliko wananchi

    Nadhan anachokifanya Lisu au CHADEMA ya Lisu kutafuta uhuru wa Tanganyika, n zaid ya alichokifanya Nyerere kutafuta uhuru maana nyerere alipewa tu uhuru wa mezan bila ata kukaa gerezan.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ilimkutaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

    Ayo ndo madhara ya badala ya kutumikia nchi unatumikia chama au kiongozi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Hafu kuna watu wanatufanya wajinga sana, n kweli dawa za mitipori inatibu lakin kwann iambatane na mashart ya ajabu. Kwan dawa za hospital na mitipori vina tofauti gan, maana dawa za hospital n mitipori inayopitia process ya viwandan kupata vidonge maji na unga. Lakin hospital hatuambiwi kaoge...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Joseph Glanvill: Majini, Uchawi na mpaka uliopo kati ya Imani na Sayansi

    Uyo shetan mapepo majin sijui wachawi kanuni au ukweli unawakataa. Ukwel unasema "Muumbaji n Mungu pekee"; Shetan kama roho ana uwezo wakubadilika ila hana uwezo wakubadilisha kitu kingne chochote kile maana uo n uumbaji bahat mbaya stori zetu nying n shetan kubadili cjui binadam kuwa panya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kihongosi imeanda kudhibitisha kauli ya Lissu kwamba Majaji ni ma CCM

    Kwaio sis sote hatupaswi kuwa na kadi ys NIDA, tunapaswa kuwa na kadi ya CCM
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Je uchawi upo au n saikolojia, jibu n uchawi upo ila ni saikolojia. Uchawi sio jambo la kiroho, uchawi n kama kuogopa giza kwan kwenye giza kuna nn, au kuogopa ndoto kwan kwenye ndoto kuna nn, au kuogopa sanam kwan sanam ina uwezo wakukufanya nn, au bundi paka panya mjusi au mende ana athari gan...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

    Watu wanasubri familia iongee vp kama familia nao n waoga. Muoga ata afiwe anakaa kimya kulinda uhai wake au maslah yake
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea

    Labda litafutwe jina lingne ila kama jina lao wanaitwa WATAWALA na utawala n kutumia dola . Vyombo vya dola vinavyotumikia chama au mtu na sio nchi.
Back
Top Bottom