Soma sheria ya ajira na mahusiano kazini namba 6 ya mwaka 2004. Kifungu cha 72 kifungu kidogo cha 4. Wapinga trade union wengi hawakipendi hiki na hawakigusi kwa kuwaambia watu ukweli
Kuna vitu ambavyo walimu wanatakiwa waamshwe usingizini.
Yani chama kiitwe chakuhawata alafu kiwe chama kabisa cha kutetea walimu kweli!!!? Walimu wapewe elimu ya vyama vya wafanyakazi, waambiwe kuwa vyama vya wafanyakazi ni zaidi ya hizo fedha zao wanazokatwa kwenye mishahara yao.
Ukitaka...
Wakurungwa salam,
Kulikuwa na Waziri anayeitwa Dr. Angela Kairuki nadhani mara ya mwisho kumsikia masikioni mwangu enzi za Mwendazake alikuwa ni Waziri wa Nishati.
Siku hizi amepotea kabisa katika ngoma za masikio zangu. Hivi bado ni Waziri? Yupo wapi siku hizi? Bado ni Mbunge au Ubunge wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.