hatua nyingine, Rais Magufuli jana
alikutana na kufanya mazungumzo na
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha
Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba.
Chanzo cha kuaminika kiliiambia MTANZANIA
jana kuwa pamoja na Profesa Lipumba
kumpongeza Magufuli kwa ushindi na kutoa
hotuba nzuri katika...
Hapa hatamimi nampa big up sana huyu kijana mwenzangu kipindi anaongea nikawa namsikiliza kwa makini kama kiongozi,mbunge,waziri,mzalendo wa tz yaani tukiwa na watu wenye maamuzi na wanaojali maslahi ya wananchi hii nchi tungefika mbali sana
ni kweli mkuu yapo mengi sana yanayokera kwa hiki chombo ....watu tunalalamika kila siku lakini hawataki kubadilika,wameweka email kwenye wabsite yao kwa ajiri ya complain tumewandikia tumewambia lakini mambo ni vilevile
secretarieti ya ajira kupitia utumishi wa umma ndio mliopewa jukumu kubwa la kuajili lakini shughuli zenu zinakera sana hamfuati hata utaratibu mlioweka wenyewe ...kuna tangazo la kazi mlitangaza september 25, 2014 mpaka leo November 24 sioni kuitwa mtu ata kwenye interview mbona mnakuwa...
Hakuna maisha ya Mafanikio kupitia hizo tips zako
Huwezi kutumia falsafa za kutoka kusikojulikana kutuaminisha sis eti ndio njia ya mafanikio ...eti usiangalie tv...? kula milo miwili kwa siku hapo ndio umeprove failure ....sayansi yenyewe inashauri mtu ale milo kamili mitatu au milo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.