secretarieti ya ajira utumishi mjirekebishe

mfirigisi

Senior Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
115
Reaction score
50
secretarieti ya ajira kupitia utumishi wa umma ndio mliopewa jukumu kubwa la kuajili lakini shughuli zenu zinakera sana hamfuati hata utaratibu mlioweka wenyewe ...kuna tangazo la kazi mlitangaza september 25, 2014 mpaka leo November 24 sioni kuitwa mtu ata kwenye interview mbona mnakuwa mnachelewesha namna hiyo hizo ni zarau kabisa mnatuona kama sisi watanzania hatuna pakwenda , na kama mko wachache je kwanini msiajili watumishi wengi ili kazi zienda ipasavyo......
 
kwel Mkuu inauma siku umepata safar kwenda kijijin hamad wanaita inakuwa imekula kwako wajaribu kuweka kipengere cha limit ya kufanya process ya selection at least isiwe zaid ya miez miwili
 
secretarieti ya ajira kupitia utumishi wa umma ndio mliopewa jukumu kubwa la kuajili lakini shughuli zenu zinakera sana hamfuati hata utaratibu mlioweka wenyewe ...kuna tangazo la kazi mlitangaza september 25, 2014 mpaka leo November 24 sioni kuitwa mtu ata kwenye interview mbona mnakuwa mnachelewesha namna hiyo hizo ni zarau kabisa mnatuona kama sisi watanzania hatuna pakwenda , na kama mko wachache je kwanini msiajili watumishi wengi ili kazi zienda ipasavyo......

Siyo hayo tuu mkuu hua wanadai eti kuna database wanatunza majina ya watu waliofaulu ila hawakupata vituo vya kazi, hakuna kitu kuna rafiki yangu kaingia oral sita hapo hajawahi kuitwa kazini na anajiweza mpaka ameakata tamaa kuomba tena ajira serikalini. Mimemwajiri ktk duka langu kwa kua me sikubahatika kwenda shule. Acheni uonevu watu wanawaamini sana ila mmeshaanza kujipotezea sifa.
 
ni kweli mkuu yapo mengi sana yanayokera kwa hiki chombo ....watu tunalalamika kila siku lakini hawataki kubadilika,wameweka email kwenye wabsite yao kwa ajiri ya complain tumewandikia tumewambia lakini mambo ni vilevile
 
secretarieti ya ajira kupitia utumishi wa umma ndio mliopewa jukumu kubwa la kuajili lakini shughuli zenu zinakera sana hamfuati hata utaratibu mlioweka wenyewe ...kuna tangazo la kazi mlitangaza september 25, 2014 mpaka leo November 24 sioni kuitwa mtu ata kwenye interview mbona mnakuwa mnachelewesha namna hiyo hizo ni zarau kabisa mnatuona kama sisi watanzania hatuna pakwenda , na kama mko wachache je kwanini msiajili watumishi wengi ili kazi zienda ipasavyo......

vuta subira mchakato wa ajira ni mrefu mpaka kuitwa kwa usaili so yatakiwa umakini mkubwa, wakiharakisha mambo wakakosea baadhi ya detail wewe mwenyewe utakua wa kwanza kulalamika, subiri tu.
 
Mtoa mada unaonekena hauna kazi,ndiyo maana umejipa kazi ya kuwafundisha sekretarieti jinsi ya kufanya kazi.

Do not outshine the master.Hiyo ndiyo sheria ya dunia.
 
Back
Top Bottom