MH. Mwigulu ni Mtetezi wa wanyonge bila chembe ya shaka

snkoha

Senior Member
Jun 19, 2009
154
6
Nimemsikiliza kwa makini Mh.Mwigulu leo nimekubali kura yangu niliyompigia Singida haikupotea bure, wewe ni mtetezi halisi wa wanyonge, ameongea Kimamlaka, Kizalendo na Kwa niaba ya masikini. Tukiwa na viongozi kama wewe hii Tanzania itakuwa ni mahala pazuri sana pakuishi. Kuna baadhi ya Wabunge wanaupepo wakichama ninadoubt thinking capacity yao na Uzalendo mapana ya nchi na maslahi mazima ya nchi.. Kuna mtandao Hatari sana wa kimafia umeengineer huu uchotwaji wa pesa za Escrow na waliona hii loophole, Endapo ikawa ndio funika kombe mwanaharamu apite, fahamuni fika mnaliweka taifa na chama chetu cha CCM Rehani, upepo uliopo huku mtaani si mzuri hata kidogo, toeni maamuzi magumu hata kama ni ya kushake chama ila waliopora fedha za serikali wawajibishwe.. Mungu ibariki Tanzania,mbariki na huyu anayesoma ailewe vema huu ujumbe bila ya kuweka ushabiki
 
Pinda ana makosa makubwa sana na lazima ajiuzulu, yeye alijua kuwa kiini cha sakata hili ni ikiwa fedha hizi ni za UMMA au si za UMMA, kwa nini hakumpa hadidu rejea hii CAG ili akate mzizi wa fitna? kuna kitu hapa waziri mkuu alitaka na anataka kuuficha UMMA.
 
mtu akiwa mtetezi wa wananchi atapendwa bila kujali chama anacho toka. MWIGULU KWA HILI HONGERA NA UMEONESHA UJASIRI WA KUTO KUWA PAMOJA NA MAFISADI BALI UPO PAMOJA NA WATANZANIA WENZIO NTAKUHESHIMU FROM NOW. Nimezifuatilia harakati zako tangu ulipo kiri kutubu kweli kwa sasa wewe ni mtanzania halisi.
 
Nimemsikiliza kwa makini Mh.Mwigulu leo nimekubali kura yangu niliyompigia Singida haikupotea bure, wewe ni mtetezi halisi wa wanyonge, ameongea Kimamlaka, Kizalendo na Kwa niaba ya masikini. Tukiwa na viongozi kama wewe hii Tanzania itakuwa ni mahala pazuri sana pakuishi. Kuna baadhi ya Wabunge wanaupepo wakichama ninadoubt thinking capacity yao na Uzalendo mapana ya nchi na maslahi mazima ya nchi.. Kuna mtandao Hatari sana wa kimafia umeengineer huu uchotwaji wa pesa za Escrow na waliona hii loophole, Endapo ikawa ndio funika kombe mwanaharamu apite, fahamuni fika mnaliweka taifa na chama chetu cha CCM Rehani, upepo uliopo huku mtaani si mzuri hata kidogo, toeni maamuzi magumu hata kama ni ya kushake chama ila waliopora fedha za serikali wawajibishwe.. Mungu ibariki Tanzania,mbariki na huyu anayesoma ailewe vema huu ujumbe bila ya kuweka ushabiki

nimekuellewa mkuu kwa sasa huyu jamaa anakuwa mzalendo. Na kwa uzalendo huu ukiwa unatoka moyoni na ukaendelea mbele, nadhani kuna haja hata upinzani kuto simamisha mgombea jimboni kwake ili asibuguthiwe tuwe nae utawala ujao.
 
Hapa hatamimi nampa big up sana huyu kijana mwenzangu kipindi anaongea nikawa namsikiliza kwa makini kama kiongozi,mbunge,waziri,mzalendo wa tz yaani tukiwa na watu wenye maamuzi na wanaojali maslahi ya wananchi hii nchi tungefika mbali sana
 
among ten MPs niliotokea kuwachukia, mwigulu ni mmoja wapo, na sikumchukia kwa sababu ni ccm, au kwa sababu binafsi hapana, ilikuwa ni kwa sababu za kisiasa hasa pale alipoonekana kuuvaa sana u ccm kuliko utaifa. but tokea alipokuwa naibu waziri, nimeshuhudia baadhi ya changes kwake, nafikiri ni baada ya kujua dhamana aliyo nayo kwa taifa, hasa ku deal perpendicular na wahujumu uchumi kama yule muhindi, na pia kwenye hili suala la leo bungeni.

hongera mkuu, just be patriotic and we will support u, amini wananchi wana nguvu na maamuzi ambayo ni arbitrary, tenda kwa maslahi ya taifa and u will be paid accordingly.

pia nashangaa sana, kwanini wengine wanaelekeza nguvu zao katika kuwatetea waliohusishwa kwenye hii saga kuliko kuelekeza nguvu hizo kujua kama ni kweli wanahusika au si kweli. hapa nashawishika kuamini kuwa hii si skendo bali ni ukweli mtupu kuwa fedha za umma zimeibiwa na wezi waliotatljwa.
 
Naunga mkonoBandiko. jamaakabadirikavilivyo, nahisi kaungama nakuokoka yani utadhan sie Mwigulu wa kipindi kile.
Big up Brother
 
63956_797139600333014_2346259720616219500_n.jpg

10473603_10203121220655307_8662309593216190476_n.jpg
 
Nimemkubali sana leo Mh. Mwigulu Nchemba akaze buti,kodi zote zilizopigwa/walizokwepa zirudishwe na pia waliofanikisha upigaji wa fedha taasisi nyingine zichukue mkondo wake kwa kuwafikisha mahakamani.
 
Last edited by a moderator:
Nimemsikiliza kwa makini Mh.Mwigulu leo nimekubali kura yangu niliyompigia Singida haikupotea bure, wewe ni mtetezi halisi wa wanyonge, ameongea Kimamlaka, Kizalendo na Kwa niaba ya masikini. Tukiwa na viongozi kama wewe hii Tanzania itakuwa ni mahala pazuri sana pakuishi. Kuna baadhi ya Wabunge wanaupepo wakichama ninadoubt thinking capacity yao na Uzalendo mapana ya nchi na maslahi mazima ya nchi.. Kuna mtandao Hatari sana wa kimafia umeengineer huu uchotwaji wa pesa za Escrow na waliona hii loophole, Endapo ikawa ndio funika kombe mwanaharamu apite, fahamuni fika mnaliweka taifa na chama chetu cha CCM Rehani, upepo uliopo huku mtaani si mzuri hata kidogo, toeni maamuzi magumu hata kama ni ya kushake chama ila waliopora fedha za serikali wawajibishwe.. Mungu ibariki Tanzania,mbariki na huyu anayesoma ailewe vema huu ujumbe bila ya kuweka ushabiki

Kinachotakiwa kumpamba Mwugulu utuandikie alichokisema bungeni hapa si kumpamba mtu kana kwamba wengi walikuwa wanamwangalia au kusikiliza kiongea. Jaribu kuwa mpashanaji mzuri wa habari hapa JF
 
Kwa kweli amekosha mioyo ya wengi...Mungu wabariki na walinde wote wenye nia njema.
 
Kama Kuna aliyemwombea Mwigulu akabadilika basi Mungu ampe Maisha zaidi.......Mwigulu amebadilika.
 
Kwa jambo hili ukiwa mkweli tuu utapendwa...huu ndio uzalendo..kuonyesha kweli unaumizwa na uovu...kuliko wale wajinga wanao kiuwa chama chao bila kujua kuwa wanakiuwa chama kwa kutetea majambazi.....
 
Back
Top Bottom