Recent content by Mfawidhiii

  1. Mfawidhiii

    Jinsi sogea tuishi ilivyoharibu thamani ya ndoa

    hahahhahah nimeipenda io
  2. Mfawidhiii

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Hahahahahaha Tuendelee kula mtorii,, Nyama zipo chiniii
  3. Mfawidhiii

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Bado watu ni wengii ambao tunaendelea na kinyang'anyiloo . Hatakiwi kuvunjika moyoo
  4. Mfawidhiii

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Hadi sasa kuna tarehe nne,, Kuna sisi wa tarehe 13, Nimeona wa tarehe 14, kuna watarehe 20 na tarehe 23. Tukapambanie kombe,, Liziki mafungu mawili kupata au kukosaa.. Tutakaoanza tutawaletea habari kwa ufupii. Muwe na sikukuu njemaa
  5. Mfawidhiii

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Asante kwa kunitia moyo nimepokea email
  6. Mfawidhiii

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    mbona mi sijapata sms na email yoyote msaada jamanii au nimekoswaa
  7. Mfawidhiii

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Weeeee kwaio unataka kusema tulikua tupo Dsm tunasubiria majibu turudi tu Kigoma kwetu
Back
Top Bottom