safi sana Mr Dijay maana Hip Hop ni chakula cha ubongo bwana ila jioni naomba uzicheze sana nyimbo ya nash mc,nikki mbishi,jcb,salu tee,kimbunga mchawi
hahahaha huyu luge na kusaga ni noma sana wanachezea akili za vijana eti leo wanasema fiesta part 2 hahaha wajinga ndo waliwao bwana!!!ila nakukaribisheni new msasani club november 2 pale kilingeni kila kitu kitakuwepo kinachohusu HIP HOP
Wazazi wa tmk kweli munakubali kupeleka watoto wenu kufanya kazi za utumwa!!Haya bana ila andaeni wakirudi muwapeleke hospitali maana sazani kama wataweza kukohoa
hahahaha nyie sio kila mtu ni al shababa au alqaida hivo vikundi ni hatari sana msipende kuvitaja !!watu mmewakuta polini na mapanga mawili na viroba vya unga leo mnasema al shabab hacheni ubabaishaji bwana emu waulizeni wakenya ndo wanajua mziki wa alshabab!!!
poleni sana ndugu zangu wakenya !!ila mkae mkijua kwamba na jeshi lenu nyinyi linauwa watu wasiokuwa na hatia kule somalia kwa kisingizio cha alshabab la msingi ondoeni majeshi yenu halafu tuone kama mtashambuliwa!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.