Ugaidi Kenya - Picha kutoka eneo la tukio WestGate

Ugaidi Kenya - Picha kutoka eneo la tukio WestGate

article-2429644-182D477200000578-541_470x711.jpg
 
Naona waisrael walitia timu jana usiku kumaliza hii kadhia...magaidi wameamua kujigungia 'strong room' na mateka wao!
 
its real tragic and bring fear to not only Kenyan citizens but to all Africans and World in general. we believe all evils will be awarded here on earth before going to heaven. it is a pathetic situation, lets all pray together for our late brothers and sisters in Kenya, May Almighty Allah rest them in eternal peace, aaaamiiiiin:shock:
 
Zinasikitisha haswa kwa watoto ambao hawana hatia ila wamekumbana na kitu kama hicho maisha yao watakuwa wanakumbuka hili tukio sana
Poleni sana ndugu zetu wakenya
 
Tunaamini Mungu Yupo atawaponya waliojeruhiwa na kuwafariji waliopoteza ndugu zao. Taarifa za hivi punde zinasema barabara karibu na Westgate zimefungwa, watu wanaoishi karibu na eneo hilo wametakiwa kuchukua hatua za tadhari huku milio ya risasi ikisikika kutoka ndani
 
Amen! Yaani dunia ishakuwa si mahali salama ....piga picha ndo umetoka na familia yako kwenda kubarizi maeneo yenye mikusanyiko kama hapa kisaha hawa mabazazi wanaingia!

Yaani nina hasira sana ndugu yangu!!!!!!!
 
Naona waisrael walitia timu jana usiku kumaliza hii kadhia...magaidi wameamua kujigungia 'strong room' na mateka wao!

Yaani natamani hawa mabazazi wafutiliwe mbali kabisa!!!!!!!
 
Tunaamini Mungu Yupo atawaponya waliojeruhiwa na kuwafariji waliopoteza ndugu zao. Taarifa za hivi punde zinasema barabara karibu na Westgate zimefungwa, watu wanaoishi karibu na eneo hilo wametakiwa kuchukua hatua za tadhari huku milio ya risasi ikisikika kutoka ndani

Yaani hawa sijui ni binadamu gani hawa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Zinasikitisha haswa kwa watoto ambao hawana hatia ila wamekumbana na kitu kama hicho maisha yao watakuwa wanakumbuka hili tukio sana
Poleni sana ndugu zetu wakenya

Acha tu ndugu yangu!
 
POLENI SANA NDUGU ZETU WAKENYA MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHARI PEMA!
nawaombea alishababu Mungu awasamehe dhambi zao na wajue makosa yao!
 
My prayers to all Kenyans and above all to all peace lovers and innocent lives that were lost from this barbaric act:

article-2429644-182F80D400000578-710_964x614.jpg


article-0-18240A6100000578-520_964x649.jpg

article-2429644-182CDB8B00000578-624_964x662.jpg

article-2429644-18248A0300000578-201_964x641.jpg


article-2429644-182663E400000578-121_964x723.jpg
Good Good Good! kwa kutuhabarisha.
Poleni sana ndugu na majirani zetu!?
 
Dunia imekuwa mahali hatari sana pa kuwepo nyakati hizi!!!!!!!!!
 
pole nyingi sana kwa wenzetu waliopatwa na janga hili.mungu awape uzima wale walioumia. inasikitisha sana.
 
Hawa jamaa ni HATARI kuliko hatari yenyewe.Watu 15 wanatingisha kiasi hiki for 3 days non stop!!
 
daaaaa ndugu zangu wakenya emu ondoeni majeshi yenu huko somalia!!!!Hao watu munaopambana nao hawaogopi kufa halafu nyinyi munaogopa kufa chonde chonde ondoeni majeshi huko somalia!!!
 
Back
Top Bottom