Recent content by Mfalme Daud

  1. Mfalme Daud

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

  2. Mfalme Daud

    JamiiForums Tanzania Kondomu za siku hizi ni ndogo hazitoshi kwenye uume

    Acha uzinzi 😬😬😬. Vijana wa namna hii mchango wao kwa Taifa ni mdogo sana 😬😬
  3. Mfalme Daud

    JamiiForums Tanzania Ijue Rhesus factor na ujauzito

    Hiyo kitu ndo napambana nayo saizi kwa mpenzi wangu. Mtoto wa kwanza alizaliwa kama ulivyosema na ana miaka 6. Changamoto ni mimba ya saizi. Amechomwa hiyo sindano moja, gharama ni laki 2. Walisema sindano ya pili mwezi huu wa tano gharama ni ileile laki 2. Na itakuwepo nyingine tena ya mwisho...
  4. Mfalme Daud

    JamiiForums Tanzania A night in Africa: Journey from Bukene

    Namii nakiomba kitabu hicho. Ntashukuru sana
  5. Mfalme Daud

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  6. Mfalme Daud

    JamiiForums Tanzania Nani aliamuru jengo la bunge Dodoma kujengwa uswahilini

    Kwanza naomba uanze na maana ya neno uswahilini. Je jengo la bunge kweli liko Uswahilini?
  7. Mfalme Daud

    JamiiForums Tanzania Nafikiria na sijaamini kama sina HIV, nimepima

    Hahhahaha!! Jamaa amekuwa na pisi toka mwezi wa saba leo ndo anakumbuka PEP. Atakuwa amevunja rekodi ya Guiness!! Mwambie asizunguke, apime tu ili ajue afya yake!! Hamna short cut hapo!!
  8. Mfalme Daud

    JamiiForums Tanzania Natafuta Partner tulime naye Kitunguu

    Hakika bro. Issue inaanzia kwenye trust. Masuala ya project hata kama utaweka real ID bado kwangu itakuwa kazi. Nmependa sana hiyo project. Just imagine niko kwenye mikoa ya nyanda za juu kusini!!
  9. Mfalme Daud

    JamiiForums Tanzania Natafuta Partner tulime naye Kitunguu

    Mimi niko tayari kitakacholeta shida ni umbali kati yako na mimi. Niko mkoa wa mbali sana!
  10. Mfalme Daud

    JamiiForums Tanzania Wanamuziki karibu wote wa Zamani hawapo kwenye Wikipedia, yaani hakuna historia zao

    Wasalaam wanajukwaa. Kwa moyo wa unyenyekevu kabisa kuna Malegend wa muziki ambao wameiletea heshima nchi hii kwa miaka hiyo katika tasnia ya Muziki lakini bahati mbaya ukisearch Google huwezi kujua chochote walichofanya. Mfano miaka ya kuzaliwa, namna alivyoanza mziki n.k. Lakini ni rahisi...
  11. Mfalme Daud

    JamiiForums Tanzania Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    ELIMU YA AFYA KUHUSU U.T.I!! NA KAMA HALI HALISI NDIYO HII BASI KUNA UWEZEKANO WANAOPATA MAJIBU SAHIHI YA UTI NI ASILIMIA NDOGO SANA!![emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] MAJIBU ya UTI hayatoki ndani ya muda mfupi By Kalunde Jamal, Mwananchikjamal@mwananchi.co.tz Hali yako kiafya...
  12. Mfalme Daud

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Yupo hai!! Ila hali yake siyo nzuri sana
  13. Mfalme Daud

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    ‪VIDEO: Fundi Mkuu wa MV Nyerere Alphonce Cherehani baada ya kuokolewa, inaelezwa alijifungia kwenye chumba toka walipozama huku mwili wake wote ukiwa umejaa oil. #MillardAyoUPDATES ‬
  14. Mfalme Daud

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    ‪VIDEO: Fundi Mkuu wa MV Nyerere Alphonce Cherehani baada ya kuokolewa, inaelezwa alijifungia kwenye chumba toka walipozama huku mwili wake wote ukiwa umejaa oil. #MillardAyoUPDATES ‬
Back
Top Bottom