Recent content by mezea

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gari la mkopo ni presha tupu

    Jamani naomba kutoa mada yangu kuna jambo moja linanisumbua naomba tulichangie kuhusu hawa vijana wetu wa siku hizi hawana maadili kabisa utakuta mvulana wa miaka kuanzia 20 - 25 nakuendelea anamtongoza mama mtu mzima age ya mama yake mzazi anaweza kumletea maneno ya kihuni au hawezi kuchukulia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nawatakieni Kwaresma Njema

    Nadhani wewe ni mwehu kabisa wewe una uhakika gani kama dini yako sio kafiri ila mkristo ndio kafiri kuwa makini unapochangia jf
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa kufanya mapenzi zaidi na kuzeeka

    Hiyo ni kweli kabisa ulitaka angalia mfano wa watu au myu umjuae wewe ulinganishe na life style anahoishi unaweza kuona tofauti ikoje wewe utaona mwenyewe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hii inanikumbusha Marangu -nyumbani, asante BBC

    Aika sana meku hiyo ndio real
  5. M

    JamiiForums Tanzania Afisa ugavi TEMESA ashtakiwa kwa kutaka kulipua ofisi

    Hata angekuweka mngeenda kugawana huko segerea au ukomga Mungu anapoamua lake litatimia tuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Madirisha ya Aluminium vs madirisha ya Mbao

    Kiukweli itategemea na uwezo wako na unaishi wapi ila mbao ndio the best
  7. M

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini: Mwanamke ana umuhimu

    Mkuu hayo yaliyoelezwa jf kuhusu mwanamke kiukweli wamambo wamelenga haswa kwa mtazamo wa kawaida nyumba yenye mwanamke anayejiamini inaonekana eti na yenye mwanamke poyoyo pia inaonekana. Sasa basi la maana hawa akina baba wangekuwa makini kuwajali wake zao na kuwaheshimu ili na hao akina mama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Aliyekuwa muuguzi wa hospitali ya Taifa Muhimbili (Aunt Kessy) afariki dunia

    Aunt kessy atazikwa kessy kesho jumamosi
Back
Top Bottom