Recent content by mexico 1980

  1. M

    Hizi Toyota Rumion mnazionaje wadau?

    Nasikia ni kali balaa. mwenye kuelewa performance yake atuambie. c.f.. RRONDO Toyota Rumion
  2. M

    GE2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

    Tatizo tumeshindwa kusimamia sheria kanuni na taratibu tulizojiwekea na wanapenda kuzivunja ni wale tuliowapa dhamana ya kuzisimamia
  3. M

    GE2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

    Lissu anajua anacho kifanya yupo kisheria zaidi atuta kubali uwonevu ata kidogo pia aturudi nyuma hapa ni kusonga mbele tuuh
  4. M

    GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Siihitaji campaigned, maana maamuzi nishafanya siku nyingi. Ni Yeye ndio naenda nae.
  5. M

    GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Walishaniharibia siku yangu. Ila kwa sasa ni mwendo wa bia. Cc @pnc1
  6. M

    Baada ya kutumia dose ya misoprostol bleeding imekataa kukauka.

    Lengo lilikuwa kufanya arbotion na kweli baada ya kuitumia hiyo dose baada ya nusu saa tu alianza kubleed. Ilikuwa tarehe 22 mwezi huu. Sasa mpaka leo hii 31 bado anaenda bleeding tu kama kuna msaada au ushauri naomba japo kitendo kilichofanywa si kizuri. Kuna dawa yoyote anaweza kutumia ili...
  7. M

    Keshokutwa serikali kuanza mazungumzo na Barrick Gold Mine

    Serekali ya ccm ndiyo serekali inayokaaga chini na kufanya mazungumzo na wezi. Kama unaibiwa mazungumzo ya nini? Vunja mkataba. Ref. Pesa za epa na change ya rada. Sasa makinikia
  8. M

    Jifunze jinsi ya kuongeza nguvu za kiume

    Unaweza kuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ukiwa na umri wa chini ya miaka 35? Je ukiwa na upungufu wa nguvu za kiume na una umri zaidi ya miaka 40 huu sio uzee? Hayo matatizo zaidi ya 200 uliyoorodhesha hapo juu hayawezi kumpata kijana. Matatizo hayo ni kwa wale watu wazima na wana...
  9. M

    Kwanini watu wanaogopa kujamba kwa sauti?

    Mbona Mimi huwa siogopi kujamba mbele ya qqtu. Hua wanaona kama masihara lakini Mimi naachia tu.
  10. M

    Tuambizane ukweli eti ukijibana sana elfu 10,unaitumia kwa siku ngapi?

    Gharama za uendeshaji wa maisha kwa sasa zipo juu. Watu maskini wale wanaoishi chini ya mstari wa umaskini(under poverty line) wanao uwezo was kuibajeti hiyo 10000/= wakaitumia kwa Sikh mbili mpaka tatu. Na hawa wawe vijijini kwa mjini sio rahisi. Mimi na familia yangu mama na watoto wawili...
  11. M

    Home of AC Milan, Official Thread

    Chomba jamaa yangu Milan kwa sasa inahitaji kujenga kikosi imara na si kupiga kelele na huyo dogo. Tafuteni kochà mwenye viwango na ushawishi. Tangu kizazi cha kina Lippi, Çapello na kina Ancelotti kipite soka la Italia linapita kwenye kipindi kigumu. Hawa kina montela pamoja na kuwa na uzoefu...
  12. M

    PELE: No doubt, Best Player in the World is Cristiano Ronaldo

    We jamaa kwa kupiga debe unaweza
Back
Top Bottom