Recent content by Methusela

  1. M

    Natafuta soko la ufuta, nina tani hamsini

    Nina tani tano, Inbox me please, ni ule ufuta mnene mweupe
  2. M

    Mauajii ya dereva tax

    Du! Yani nimepita hapo kwenye mkuyu nikaona taxi ikiwa ikiwa 'full light' imepaki pembeni ya barabara na mtu mmoja akiwa chini, polisi mmoja na mtu mwingine aliyevaa kiraia. Haikuwa rahisi kutambua kama mtu alikuwa ameuawa.
  3. M

    Mauajii ya dereva tax

    Du! Yani nimepita hapo kwenye mkuyu nikaona taxi ikiwa ikiwa 'full light' imepaki pembeni ya barabara na mtu mmoja akiwa chini, polisi mmoja na mtu mwingine aliyevaa kiraia. Nilivyoona (huku naendesha gari) haikuwa
  4. M

    Natafuta soko la magogo ya mitiki

    Baba yangu anatafuta soko la mitiki yenye umri wa miaka 15 sasa. Miti hiyo ipo Kilombero, Anyone with a link to a potential buyer?
  5. M

    GE2010 Matokeo Kijiji Cha Kigarama, Kanyigo, Nkenge (Kagera)

    Matokeo Kijiji Cha Kigarama, Kanyigo, Nkenge (Kagera) Urais CCM: 382 Chadema: 342 Udiwani: sijapata kamili ila mgombea wa chadema amemzidi wa CCM kwa kura 61 Kijiji cha nshuma naambia slaa kamzidi JK kwa kura 8, na kwenye udiwani wa CCM amemzidi wa chadema kwa kura 12. "Ubunge - wameairisha...
  6. M

    GE2010 Mgombea wa Ubunge wa TLP-Nkenge aombwa kujitoa dakika za Mwisho

    Mgombea ubunge kwa tiketi ya TLP jimbo la Nkenge anaombwa kujitoa kwa kuwa jina lake limewekewa bendera ya UDP badala ya TLP. Hivi ninavyoleta habari vikao vinaendelea kumshawishi ajitoe. Mgombea huyu Wiliam Kweyamba ndie anaepewa nafasi kubwa ya kushinda katika kinyang'anyiro hicho tutaendelea...
Back
Top Bottom