Kwa Dar sifaham kwani si mwejej huko. Mm nilisaidiwa Morogoro, Kihonda kwa Father, japo amefariki lakini huduma bado ipo. Jaribu kuulizia kwenye Pharmacy kubwa huko Dar hasa za wahindi.
Umeshawahi jaribu hizo dawa? Unatumia vidonge na ya kipaka kwenye kinyama kwa pamoja. Mimi ilinisaidia ndani ya wiki tu baada ya kuteseka miezi sita kwa huo ugonjwa.
Mnoo, nilikaa kwa mjomba wangu miezi mitano hivi, wiki haiwez isha hawajapika hayo mavitu hata mara tatu na ndio dinner unakuta, siku yakipikwa nilikua natamani hata nikale kwa mamalishe.
Christmas ya 20222 tulichinja kuku hapa nyumbani. Christmas ya 2023 hatukuchinja, baada ya siku mbili tukakuta jogoo wetu anaumwa tungechelewa kidogo angekufa tukamchinja, sasa najua sababu ☹️
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.