jaman dogo anahitaj ashauriwe hata kuhusu upatkanaj wa ajra, naona siku hiz kila anaesoma egm anasoma archtecture pale ardhi na izo brn wataajirika wote hawa? kasome education chuo chochote unachokiona kzur kwako
haupo serious ww, deadline 30th june leo 16th july et ujarb bahat yako, hio ela ya bahasha na kutumia posta jipoze ata na chips mayai apo, hio ya zima moto ishakushnda subiria mwakan
wale wa kanda ya ziwa mpooo..? njoo bunda-mara nije mikoa ya iringa, njombe au mbeya idara sekondari, issue za halmashaur tutaangalia, shule ipo karb kabsa na town, ncheki kwa 0655714111,
we serotherapy nataman sn uwe unasoma udsm lkn sitaman hata kidogo uwe unasomea ualimu, hua wa2 wa dizain kama zenu za kutumia mda mwng kusifia chuo hua hamfundish na co wote ila wa dizain ka yako, nataman uwe unasomea PSPA ili baada ya kumalza mwaka wa 3 tukutane tena huku jf, FUNZO...
cha msingi tusimbishie kwanza ila atoe source of information ila ka amelala ameamka kaamua kuandika na ndo tabia yake bas ile cyber crimes kuna siku itamkumba
hao viongoz wa sekomu hawawez kukwepa lawama kwa hili, mkuu wa taaluma hajafanya kaz yake ingekua mm ngeomba atafute kazi nyingine ikiwa ni pamoja na biashara na kilimo, mtu mzima hovyo
uongoz wa hicho chuo wamefanya utoto sijapata kuona, yan kupeleka majina ya wahitim 2013 wakat walitakiwa 2014? au ndo scandal inatengenezwa tamisemi wapate sabab?
nawaona tu mnacfia ata hamtoi ubaya wa baadh ya maeneo, et hakuna vijij vilvo mbal na mjin, kweel? bro angu anafundsha nyasa lake shore sec ipo matema ni beach kabsa ila nyumba za kupanga zenye umeme ni chache sn na mboga ukchelewa kununua ambazo ni samak kwa wing kuanzia asbh ad sa5 asbh ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.