pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,226
- 12,672
hayo matatizo ya st Joseph nadhani wapiganaji wakubwa ni mwaka wa pili, mwaka wa kwanza wengi wako nyuma na wengi wao ni watazamaji wachache tu ndio wanaotoa ushirikiano maana kuna baadhi ya jamaa zangu wanasoma mwaka wa kwanza hapo wengi hawako chuo na wale wanaokaa maeneo ya jirani kama moshi tayari wako nyumbani na wengine wanadiriki kusema mgomo ukiisha wataniita.Sasa sijui wanafkiri nani awapiganie haki yao cha msingi mnaoendelea kupigania haki msichoke
ww mwaka wa pili hawapo chuoni walifunga wote hawapo tuliobaki ni mwaka wa kwanza ndo tuliogoma mwaka wapili wana likizo hawapo chuoni