Recent content by meseryside

  1. meseryside

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Labda mi nimemwelewa vibaya ila msingi wa mafanikio yoyote yale ni nidham Swala la mwanafunzi kupata mimba an zen umsubiri ajifungue aje aendelee alipoishia itakua usumbufu sana zaidi ya tunavyofikiria af tutakuwa tunawafundisha nn watoto tusisahau akati si wenyew tunapinga mimba za utoton...
  2. meseryside

    Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Cc watu wazima bana akili za ukaambia tuchanganye na zetu weka umbea pemben how can we prove izo voice not ingekuwa video sawa Naona ka kuna watu wanachekelea ili swala mara 2020 na ishirini usikosee tena kula yako tumeanza kupangiana eti kadi ninayo mm najua kwa kupeleka shona utulie.
  3. meseryside

    Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Safiii kumbe jogoo anawika eee
  4. meseryside

    Picha ya siku

    Akazane tu kufuga ndevu zake
  5. meseryside

    Crazy things you did in secondary school

    nilitumwa ofisini kwa mkuu nkakuta mikate imepakwa brubend kabsa nkaificha ndan ya sweta langu kumbe ilikua ya wasimamizi wa mitihan ya kidato cha sita duu ilikua nongwa kweli
  6. meseryside

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Unataka kuniambia ulikosea kuchagua? Jamaa kesha jua hupati my b mda wa kufurah na mme wako maana ake kajua vitu unavyo vi miss yeye kaziba magepu aise Embu kuwa na msimamo unaanzaj kuweka ukaribu huo na mtu asiye na mpango nawe ivi ushawi kufikiri mme wako akijua itakuwaj? omba ushauri jinsi...
  7. meseryside

    Nimepata Mpenzi ila mh..! Ushauri wenu wakuu

    Kiswahili rahisi tu wanasema kung'uta vumbi
  8. meseryside

    Hivi nyie wanawake; hamna zawadi ya kutupa zaidi ya papuchi?

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] ko wanathamn pesa kuliko naniliu
  9. meseryside

    Kwanini wanaume wamekua wadhaifu sana kitandani?

    Kna mama nao wanamchango wao kwny hili swala Chakula mnacho waandalia waume zenu mara chips sembe mikate chapat.. apo nguvu kuzipata labda mgugo
  10. meseryside

    Msichana ana mpenzi, Namimi nimempenda

    Mjue mtu wake kwanza bwana ww huwez ukapigana na adui usiyemjua But una malengo naye kweli? think twc
  11. meseryside

    Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

    Mtu hana ata mazoezi unategemea nn mwili lege lege mpaka kifua
  12. meseryside

    Wanaume tuishio Dar es Salaam acheni tu wenzetu wa Mikoani watudharau kwa aibu kubwa kama hii

    [emoji2] [emoji2] [emoji2]wasameh mjomba ila biologist wanashaur uoge ya moto ka umetoka kupasha pasha misul nn
Back
Top Bottom