chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,180
- 25,418
Kweli mitazamo tofauti, mi namwona kafanana na WYCLIFF JEAN
fidel castro je?
Kweli mitazamo tofauti, mi namwona kafanana na WYCLIFF JEAN
Akazane tu kufuga ndevu zake
itakua zinalipa
Simba Huyu ni Che Guevara na sio Chegu Evara.Ni mwana mapinduz alizaliwa mwaka
June 14, 1928 huko
Rosario, Argentina View attachment 511444 huyo apo pichanView attachment 511446View attachment 511448
Old dirty and bustard ODB WA WU TANG CLANView attachment 511354Mzee Muhogo mchungu,sema chochote kwake
Kabisa.Kweli mitazamo tofauti, mi namwona kafanana na WYCLIFF JEAN
Huyu MZEE namkubali anakipaji cha hali ya juu kwenye uigizaji.View attachment 511354Mzee Muhogo mchungu,sema chochote kwake
Hahaha!! Mapacha wasio fanana
Huyu Talib ni nani? ComradeKabisa.
Mimi namwona kafanana na TALIB KWELI