Mgombea wa ccm John Magufuli amefika mto wa mbu asubuhi na kushindwa kufanya mkutano kutokana na watu kutokuwepo,wachache walimzomea mpaka mabomu kupigwa.
Monduli mjini alifika Akakuta magari mengi badala ya watu,ila aliwekewa mikono na wazee wa kimasai walioandaliwa pale na pia alizungumza...
Wanamabadiliko.
Nachukua fursa hii kumpongeza katibu mkuu wa CDM Dr Slaa kwa kuukuza upinzani nchini.
Dr Slaa na Lowassa ni watu wawili wanaofanana ktk matumizi ya media kama njia ya propaganda.
Kuna kaukweli kuwa DR hakuridhika na ujio wa homeboy wake yaani Lowassa kitendo ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.