Umeorodhesha matukio kibao ya uhalifu hapa juu. Tuambie kati ya hayo ni mangapi jeshi lilifanya kazi yake na tukajua wahalifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
What is the end product of seeking truth if not telling it. Hahaha going with it to your grave??
Halafu kusema ukweli na kuangalia maslahi ya Taifa haviendi sambamba kila wakati.
Chagua moja kama ni kusema ukweli sema ukweli kama ni maslahi ya taifa ni maslahi ya taifa.
Na tunajua wengi...
Wewe ndo uache kuota ndoto.. mara ngapi serikali inafungua kesi kutuhumu watu na inang'ang'ana lakini wanakuwa hawana evidence za maana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji30] unaishi Tanzania wewe?? Wanaobomolewa nyumba kila siku bila amri ya mahakama ni majambazi?? Wanaolazimishwa kutoa magari yao ili mkuu wa mkoa atembelee ni jambazi?? wanaotekwa kwa nyimbo wanazoimba wamezoea ofa bar? SMH
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio baba yako akikosea... baba yako wa kambo akiwa anawatesa inabidi uwaambie wadogo zako ili waelewe. Na wao wataelewa pale ambapo ukishawaambia mateso ya baba wa kambo anakupiga mikanda na kukulaza stoo. [emoji23] CHECKMATE
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwakweli wakulipe disturbance allowance. Na fidia ya wastage of time for more than 20 years
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani pale kanisani kwenye kiapo cha ndoa kuna kipengele kinatakiwa kiongezwe.. tukipata au tukikosa watoto[emoji36]
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Designated survivors tops my list
2. House of cards... hii sio ujasusi ila ni all political games
3.Homeland
4. Blacklist.... hii haina politics sana
5.Tyrant .....kama we ni mwanaume kwa mi mwanamke iliniboa mapema
6. Fearless. ...Hii ni Mpya kabisa ni ya law.. politics na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.