muendelezo nimeikosaaAmerican Odyssey
Brody karudiii... Dah ngoja niendeleee kuichek yan nilikua naangalia nategemea kumuona brody akirud ila season mbil zikapita hajarud nikaamua kuachana nayoSeason 7 Bado haijatoka, season six ndo imetoka this january. Kuipata ingia torrent utaipata. Majid Javadi aliyekuwa anakaimu nafasi ya ujenerali wa pakistan baada ya Danish akbar kuuliwa na brody amerudi.
Tumia hii torrent site, www.thepiratebay.org
The last ship kesho asubuhi itakua hewani
8. Veep - Ni siasa na hasa mbinu mbalimbali wanazotumia wanasiasa katika kupanda juu kwenye ulingo wa siasa.1. Designated survivors tops my list
2. House of cards... hii sio ujasusi ila ni all political games
3.Homeland
4. Blacklist.... hii haina politics sana
5.Tyrant .....kama we ni mwanaume kwa mi mwanamke iliniboa mapema
6. Fearless. ...Hii ni Mpya kabisa ni ya law.. politics na investigation
7. Scandal. ...A lot of politics
Sent using Jamii Forums mobile app
Desgnated survivorWadau mimi siyo mfatiliaji sana wa series, ila nikiwa na muda huwa napenda kuangalia series zinazohusiana na ujasusi pia siasa ndani yake!
Mpaka sasa nimeangalia
1. 24 hours
2. Homeland
3. Strike back
4. Blacklist(sikuimaliza)
Je ni series gani nyingine nzuri ambazo haziboi?
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau Tyrant hii ni politics pasee, chek trailer lak hapo
The last ship kesho asubuhi itakua hewani