Mungu awatangulie wote mliobahatika kuchaguliwa tena kwa mara hii ya pili. Mzidi muomba awasimamie tena kwa hii ya pili. ila kwa bahati mbaya sijatumiwa msg kwa hii ya pili ila Namshukuru Mungu hata kwa experience Niliyopata kwa mara ya kwanza.
Mungu awatangulie wote mliobahatika kuchaguliwa tena. Mshukuru Mungu na azidi wasimamia tena kwa mara hii ya pili!
Kwa bahati mbaya sijatumiwa msg kwa hii ya pili ila Namshukuru Mungu hata kwa experience aliyonipa ya kwanza!
Jackson john wewe ni biggie maana nna best yangu big anaitwa hivyo.
Tukija kwenye hoja yaan ur completely right siku hiz ktk ajira watu wanafanya utapel sn.
Yaan kukosa ajira kwa watu wao ni furaha. Further more wanajua sasahiv kuna ma graduates wengi sana mtaan kwa hiyo wanafanya kila mbinu...
Sio subra wala nn. Ni kutafuta kaz sehem nyingine km kwel mtu ukiitwa poa. Ila tusitegemee MCB tu. Maana nilienda hapo Ofisin kwao mara mbili, yule mama anasema kuwa wao km MCB hawajatangaza nafasi. Hao kina Mwesiga sijui ni matapeli. Km ushaur tusijiumize vichwa maana hapa ni utata na...
Habari wanajamii. Watafuta kazi wenzangu, mimi nami niliforwadiwa huo ujumbe kwenye whatsup ya kazi za Nmb. Nikabidi nimuulize kaka yangu yupo makao makuu. Ni kwamba hamna kazi hizo nmb walizotangaza. Watu wanawachezea watu. Wametunga hizo msg na kusambaza whatsup. Ni kama ile iliyotokea ya...
Wewe chief nawe km hujui sema uelekezwe maana mimi mwenyewe nipo mwanza na jana nikienda hizo ofisi tarajiwa za MCB na nilijibiwa kuwa hao watu ni matapeli. Cha kujiuliza hiv km hao watu ni matapeli je hao wenye MCB wapo wapi kuchukua hatua. Ni utata mtupu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.