Suala la Kenye ni gumu sana.
Huwa najiuliza, hivi ni kweli mtu (kama hawa Kibaki na Odinga), ni kweli wana machungu ya kuiongoza Kenya kwa nia njema ama kwa manufaa yao wao wenyewe?
Na huyu Kibaki jamani, si alishakaa hiyo miaka mitano inatosha sasa, angeachia madaraka uchaguzi urudiwe na...