Recent content by Mercy Over Judgement

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ajira kwa watumishi tarajali (internship)

    Tarajali ni kipindi ambapo wafanyakazi hupokea mafunzo ya kazi chini ya uangalizi maalumu katika shirika ama kampuni fulani kwa kipindi cha muda fulani ili kupata uzoefu utakao muongezea thamani katika kazi yake ili apate soko katika ajira kirahisi. Hapa tanzania tuna taasisi inayowasaidia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nina stress nimekuwa mlevi na malaya, naona nitakufa

    Mpokee Yesu kua Bwana na mwokozi wa maisha yako, atautua mzigo wake ukiweka tumaini kwake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Benki ya NBC yazindua hati fungani ya NBC Twiga Bond riba 10% kwa miaka mitano

    Si bora uweke UTTAMIS wanaotoa not less than 12% kwa mwaka
  4. M

    JamiiForums Tanzania TAESA yatoa fursa kujisajili upya

    Mimi pia nimenufaika kupata internship kupitia taesa taasisi ya airport so jisajilini huwezijua utakapopangiwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania AIBU: Uhalisia wa ajira nchini

    Mi licha ya kua nimeandika anuani ya utumishi kwenye barua ya kuombea kazi rti nakuja kuambiwa kua nimekosea address na sijaituma utumishi, nilichoka sana na hua naacha anuani untouched since nimeiandika vizuri tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maruhani au majini wanatoaje kw mwili mwa mtu?

    kila mbinu utakayoijaribu haitofanikiwa, hata kama itakua na mafanikio hayatakua ya kudumu, na kwa bahati nzuri kama wenzangu walivyosema kua ukombozi upo kwa Yesu kristu peke yake, hence there is no any other way out
  7. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya sababu kwanini tunaingia kwenye ndoa na watu wasio sahihi

    Jambo la muhimu kabla ya ndoa ni kujibadili na kua mume bora au mke bora, na hivyo kuingia ndani ya ndoa mkiwa tayari kila mmoja amejikana kwa mambo ambayo si ya msingi na hivyo hela, mapenzi na vingine ni nyongeza tu lakini main focus ni kukubali kujikana kwa tabia unazojua ni mbaya kila mmoja
Back
Top Bottom