Recent content by Merci

  1. Merci

    Mkakati wa kuwa na Bima ya Afya kwa wote na kuikuza NHIF

    Mheshimiwa Rais, naomba upokee maoni haya kuhusu NHIF. Ili kufikia lengo la afya kwa wote na pia kuwa na NHIF stable, ni vema kila raia wa Tanzania mwenye NIDA hadi watoto wasajiliwe na kuwa wanachama wa NHIF. Michango ya NHIF iwekwe kwenye mfumo wa TOZO kwenye bidhaa kama umeme, maji na mizigo...
  2. Merci

    Pambano la ngumi kati ya Liam Smith Vs Hassan Mwakinyo

    Fuatilia pambano la masumbwi kati ya bondia wetu Hassan Mwakinyo dhidi ya Liam Smith leo tarehe 3 saa nne na nusu usiku huu kupitia link hii https://www.vipleague.st/boxing-sports-stream
  3. Merci

    Boxing: Liam Smith vs Hassan Mwakinyo

    Angalia pambano la ngumi kati ya Liam Smith vs Hassan Mwakinyo kuanzia saa nne na nusu usiku wa leo tarehe 3 kuptia link hii hapa chini. https://www.vipleague.st/boxing-sports-stream
  4. Merci

    Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

    Naona kuna ishu zinakusumbua sana kwenye mind yako. Ni hivi forex ni risk business hivyo watu wanatafuta namna ya kupunguza risk mojawapo ni hiyo kuwafundisha wengine au hata kuwa broker. So imagine ukiwa na wanafunzi 1,000 wakakulipa $50 kwa mwezi si chap umepata easy money ya $ 50,000...
  5. Merci

    Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

    Inaonekana hujui ishu inaitwa diversification. Humuoni Mo anamakampuni kibao hadi mkonge analima? Kwenye biashara usiweke mayai yako yote kwenye kapu moja. Ishu ya forex inarisk kubwa kwakua wengi hawataki kukubali yakua pair/indices au zile volatility zinaweza kwenda tofauti na analysis zao. Ni...
  6. Merci

    Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Unajua wanaume wengi bado tunaishi 70's, 80's na 90's tukidhani tunamiliki wanawake tulionao wakati maisha yamechange hatumiliki wanawake bali tunaishi nao sio property zetu kama houses, bonds cjui fixed deposit etc. Maana yake hatucontrol wala kuown any feelings wala decision zao so ukiona...
  7. Merci

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Rakims mimi ni mwanaume jina linaanza na S na nimezaliwa tarehe 17 july 1984 na wife jina linaanzia herufi A amezaliwa tarehe 21 October 1987. Nahitaji uchambuzi wako mkuu.
  8. Merci

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Tumishkaki twa mia mia 😄😄
  9. Merci

    Usichukulie poa, nyumba ni choo

    kwani yesu kasema tusile mizigo!?
  10. Merci

    Usichukulie poa, nyumba ni choo

    hivi unakula mara chache chache sio kila mara as ni mishkaki ya hamu tu. So flat inatumika mara chache kutoa hamu tu ila sio muda wote unakula tumishkaki twa mia mia. Ofkoz sio sasa mshkaki mnene km nn ishu ina kilo 90 sijui 100 haipendezi aisee inapoteza radha ya kuila kwa haraka sana.
  11. Merci

    Namna nzuri ya kutatua changamoto ya machinga na wafanyabiashara ndogo pembezoni mwa barabara na maeneo yasiyo rasmi

    Kwa kuzingatia yakua machinga na wafanya biashara ndogo ndogo nao huchangia katika pato la Taifa na la kwao moja kwa moja, ni vema kufikiria na kuweka njia nzuri ambayo itawafanya waendelee kutumia maeneo hayo kwa shughuri zao za kiuchumi. Mfano, unakuta migambo na askari wa jiji wakipambana...
  12. Merci

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nimekuja kuelewa inawezekana wengi humu wmekula pisi zinazojiuza kule telegram, yaani ukiangalia kule telegram na hizi za kimasihara unaona kuna chance mazee unakua umepiga dada poa bila kujua ukihisi umepata demu. Wanawake wengi wanauza mzigo kule telegram tukumbuke mipira au kujipima.
  13. Merci

    Angalia pambano kali la ndondi (Boxing) kati ya Canelo Alvare vs Caleb Plant

    Canelo ameshinda kwa KO round ya 11
  14. Merci

    Angalia pambano kali la ndondi (Boxing) kati ya Canelo Alvare vs Caleb Plant

    Wale wapenzi wa boxing unaweza kuangalia sasa pambano la Canelo vs Plant kupitia link hii Boxing : Canelo Alvare vs Caleb Plant - HesGoal.Com Sports News
Back
Top Bottom