Hakuna kitu kinanikera ninaposoma sentensi nakuta badala ya r inawekwa l na mbaya zaidi unakutana na msomi kabisa halafu vitu vidogo kama hivyo ameharibu. Mfano kura inaandikwa kula. Hivi shida ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana hujui kutofauyisha r na l, umenikera hadi nimeshindwa kumalizia kusoma uzi wote. Eti Mpila badala ya Mpira
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo hivi vipimo na dawa zinatolewa kulingana na miongzo ya wizara ya Afya na ustawi wa jamii. Bima wanafuata miongozo hiyo.
Sasa kwa kila kipimo na dawa zinatolewa kulingana na ngazi ya kituo. Kama kituo kikitoa huduma ambayo hakiruhusiwi kisheria basi hawatalipwa huduma waliyotoa na bima iwe...
Hivi tatizo nini hadi baadhi ya watu wanachanganya mambo madogo kama hayo, tena utakuta naye anajita msomi wa chuo kikuu.
Nikiona mtu ameandika l badala ya r au r badala ya l inanifanya nakosa hamu ya kuendelea kuchangia au kusoma .
Mbaya zaidi wanaharibu hadi majina ya watu kwa kukosea baadhi...
Shida wahudumu wa Afya hawana PPE hivyo hawawezi kurisk maisha yao wakati viongozi wamejifungia manyumbani mwao.
Mafunzo ya kuhuduma waathirika hayana maana kama vitendea kazi PPE, madawa na ventilators hakuna so unategemea huduma watatoaje kwa mazingira ya namna hiyo
Sent using Jamii Forums...
Hata kwa sasa Tunduma sukari 2000 kwa kilo hivyo tunavyosikia sukari 3000 watz wa mpakani wanashangaa maana wao wananunua 1800-2000 kwa kilo
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.