Kampuni za Bima: Dawa hii ipo nje ya Bima, itabidi ulipie cash TZS 30,000/-

Osei Tz

Member
Sep 20, 2018
79
53
"Insurance is like a shield, it covers us against unforeseen events like illness, accident or even dealth."...

1. Inakuaje mtu anakatwa kweny salary kila mwezi makato ya bima ya afya then kaugua anaambiwa alipie baadhi ya dawa au vipimo?

2. Yale makato ya kila mwezi ile ni akiba yanqu ambayo kimsingi siku nikiugua au kupata ajari inisaidie, wanavyosema hii dawa ipo inje ya bima manaake nini wadau?

3. Je hili tatizo na huko mjini lipo au ni huku tu vijijini?

4. Mfano ingekua huduma ya bima kwa wafanyakazi ni hiari je ungekubali kujiunga?

ASANTENI SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ujuha tu! Mtu unakwatwa au unalipa 1m per year afu unakaa miaka mitano hujaugua ile kivile zaidi ya marelia tu ambayo tiba yake haizidi 100k afu ukija kuugua ugonjwa hata wa kuhitaji 2.5m unaambiwa bima yako haijitoshelezi wakati ushawekeza zaidi ya 5m!!!

Bora uwe na akaunti yako bank uwe unajiwekea akiba ya matibabu kama unaweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibongobongo bima hasa NHIF ni upuuzi mtupu nmeenda majuzi kati hospitali moja huku wilayani eti yananiambia haiwezekani nipime kipimo cha typhoid c'se nlipimwa miezi 2 iliyopita.Ikabid nikomae ndo wakanipima.

Bima ya afya wamekuwa wababaishaji hawamthmini mtu mwenye bima anayepewa kipaumbele ni yule anayelipia direct.

Ukijua principles za bima utaacha lawama

Au mnasemaje mods wa JF
 
Kuna hospital za aina mbili. Wanaopenda bima na ambao hawapendi.

Ukiona wanapenda Cash, ujue kuna direct benefits kwa watoa huduma. Huwa wanaongeza costs kwenye huduma zao na kuuza dawa. So wanapata ile additianal baadae.

Ukiona wanapenda Bima ujue kuna hata magonjwa hautapima ila wao watajaza kwenye fomu ya bima na hivyo kuwaongezea mapato.

Pia hata kwenye dawa, wanaweza wakakuandikia dawa na wasikupe. So wanafanya forgery ili bill iwe kubwa na wao wabenefit income kutoka bima.
 
Ipo hivi vipimo na dawa zinatolewa kulingana na miongzo ya wizara ya Afya na ustawi wa jamii. Bima wanafuata miongozo hiyo.

Sasa kwa kila kipimo na dawa zinatolewa kulingana na ngazi ya kituo. Kama kituo kikitoa huduma ambayo hakiruhusiwi kisheria basi hawatalipwa huduma waliyotoa na bima iwe ni kipimo au dawa

Kwa hiyo baadhi ya vituo kwakutambua wakiandika vipimo ama dawa wasizoruhusiwa hawatalipwa wanaambia wateja walipie huduma hizo kitendo ambacho ni kinyume na utaratibu wa bima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo hivi vipimo na dawa zinatolewa kulingana na miongzo ya wizara ya Afya na ustawi wa jamii. Bima wanafuata miongozo hiyo...
Na huu upuuzi wanao NHIF peke yao.

Jiulize hiyo miongozo ya afya mara ya mwisho ipo revised lini, unaweza kuta 5yrs+.

Dunia inaenda kasi,leo unaweza kuta Dispensary tu MD anatoa hudumu,afu yupo limited na level ya kituo cha afya wala sio taaluma yake.

Sent using iphone pro max
 
Ukijua principles za bima utaacha lawama

Au mnasemaje mods wa JF
Pamoja na principles tunahitaji ushindani wa kutosha kwa kuwa na kampuni zenye ubora wa huduma nyingi.

Mamlaka ya Bima kuwa wakali hasa kuwa sheria na regulations makini dhidi ya ujanja ujanja wa makampuni ya bima.

Ukitaka kujua mrejesho wa imani za bima upoe, itolewa tu kama optional japo kwa mwaka ndiyo utajua taste za watu juu ya bima.

Sent using iphone pro max
 
Inategemea hospital uliyokwenda. Kuna dawa ambazo zinatolewa na hospitali za rufaa tu. Wanafanya hivyo kutokana na elimu waliyonayo madaktari katika hospitali husika.

Mfano hospitali za waliya hazina madaktari bingwa wala madaktari wabobezi. Kama dawa inatolewa na mbobezi tu huwezi kuikuta hospital ya wilaya au kituo cha afya.
 
Kuna hospital za aina mbili. Wanaopenda bima na ambao hawapendi.

Ukiona wanapenda Cash, ujue kuna direct benefits kwa watoa huduma. Huwa wanaongeza costs kwenye huduma zao na kuuza dawa. So wanapata ile additianal baadae...
Watakuandikiaje dawa na wasikupe? Unazijua fomu za Bima mkuu? Acha kuAssume sana.

Kiufupi Bima wako kimaslahi.
Haiwezekani mtu aende mfano kutibiwa macho, uambiwe Bima inakulipia gharama ya Elfu 20 kwa miwani, Halafu gharama itayozidi unaongezea....Hiyo ni mfano tu na mengine ambayo mleta mada pia amesema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo hivi vipimo na dawa zinatolewa kulingana na miongzo ya wizara ya Afya na ustawi wa jamii. Bima wanafuata miongozo hiyo.

Sasa kwa kila kipimo na dawa zinatolewa kulingana na ngazi ya kituo. Kama kituo kikitoa huduma ambayo hakiruhusiwi kisheria basi hawatalipwa huduma waliyotoa na bima iwe ni kipimo au dawa

Kwa hiyo baadhi ya vituo kwakutambua wakiandika vipimo ama dawa wasizoruhusiwa hawatalipwa wanaambia wateja walipie huduma hizo kitendo ambacho ni kinyume na utaratibu wa bima

Sent using Jamii Forums mobile app
Vituo vinqi dawa na vipimo vya Typhoid ndio imekua shida kwa wanaotumia bima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili swala bima ya afya litazamwe upya linaumiza Sana kwa wafanyakazi.nimeshuhudia watoto wawili wa wafanyakazi tofauti wako chuo wamekataliwa matibabu umri umepita miaka 18.ikabidi mmoja akope kutuma hela ya matibabu huku bima anachagia Kila mwaka.ni sawa Wana miaka 18 lakini hawa Bado wako chini wazazi wao.basi ungetumika utaratibu wakuwatambua ambao Bado wanasoma ili wapate huduma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom