Recent content by Meni01

  1. Meni01

    Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

    Acha Kutulisha Matango pori kijana! Uislam chimbuko lake sio kwa Ismael ni Tangu kuja Kwa Nabii Adam Kasome Vitabu. Sent from my Pixel 4a (5G) using JamiiForums mobile app
  2. Meni01

    Ni dhambi zipi ukizifanya (ukizoea kuzifanya) unakufa masikini?

    Mwenyez mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu Amesema". Enyi watu Jiepusheni na Uzinzi hakika ya Uzinzi Unaleta Ufakhiri na Umasikini.[emoji1607]
  3. Meni01

    Naenda Tanga kuoa

    Tanga Kubwa mkuu Unaenda kuolea Sehemu gani?
  4. Meni01

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Simba Tuna Nzur Sana Msimu huu. Mulichokiona jana Ni kwamba Tp Mazembe nao pia Wako Vizur na Wamejiandaa muda mrefu km sis So hata Ingetokea Tumewafunga Tp Mazembe Utopolo Wasingekosa La Kusema. Ila All in All Tukutane Tar 25 Next Week Ndio Watajua Kuwa Hawajui. #OneTeamOnedream Sent using...
  5. Meni01

    Mwakinyo, Sina mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi

    Naomba Kuuliza Kwan Twaha Kiduku Ana Mkanda Gani wa Kimataifa, Au Kama Anataka aweke ile Crown Yake Ishindaniwe Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Meni01

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hazard hakuonyesha Ukubwa Wake na Wala Hakujitoa Alizingua Sana. ila Agost Tufanye Usajili Wa Kutosha.
  7. Meni01

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Pale Aliopotea ni Hazard. Atoke Hazard aingie Asensio
  8. Meni01

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Msimu hii naona kama tunaenda kuchukua Kombe letu la UEFA Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Meni01

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Huo ni Ushamba Unajifanya Unateseka Sana Na Madrid.. Kufungwa Kawaida Kwenye Football Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Meni01

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mechi Ya Kesho Itakuwa Ngumu lakin Natumaini Tutafanya Vizuri. Kushindwa Mechi Ya kesho Sio Kupoteza mbio za Ubingwa. #Hallamadrid
  11. Meni01

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Tumecheza Vizur na Hatukuruhusu Goli. "Niwakumbushe bado Kauli mbiu ni ile ile Kwa Mkapa Hatoki Mtu.
  12. Meni01

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mim binafs Si Mlaumu Zidane Coz Tumekuwa Na Majeruhi Wengi Sana hivyo Imepelekea Kuwa Na kikosi dhaifu mno. Kikosi Ambacho hata CADIZ FC Wanatupiga. Lakini nina Iman Tutafanya Vizur Kias. #Hallamadrid
Back
Top Bottom