Recent content by meney9

  1. meney9

    Uchambuzi wa Zitto kuhusu Barrick Gold unapotosha

    Mkuu naomba nikuulize kwa rasimu hii ambayo nawe umeisoma pia government officialls wameipitia wakaisoma wakaielewa wakaweka initials zao, ingekuwa na wewe ni mwenye mamlaka ungeipitisha kama mkataba baina yetu na hao Barrick?
  2. meney9

    Mamba mkubwa auawa hotelini jijini Mwanza

    Hivi ukimkuta nyoka ndani kwako utamvizia umkamate halafu umrudishe kwenye makazi yake,....yaani huyo mamba ni wakuua tu
  3. meney9

    Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

    Huyu jamaa paskali anaongea kusifia ila mantiki yake ni anaponda, ni kama vile MTU akuambie jamaa yangu wew msafi, lakini ukijicheki ni mchafu halafu jamaa anazidi kukazania msafi sana wewe, very smart
  4. meney9

    Vitu gani vya kuzingatia hasa unapofanya biashara ya uuzaj wa mayai ya kisasa?

    Kwa yeyote anayetaka mayai ya kisasa Trey moja Tsh 8500 tuwasiliane kwa pm Mimi nipo Arusha . utaratibu unaweka order cku mbili kabla ili niweze kusanya mayai yote kwa kiasi unachotaka. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. meney9

    Tundu Lissu: In full spirit of patriotism

    Ni lazma kumlaumu ...mzalendo kweli kuongea hata kama hana maamuzi ya mwisho.........alidaidia nini taifa kipindi hicho sasa awe mzalendo .........tafakari mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. meney9

    Ubora wa camera ya Tecno camon cx

    Sent using Jamii Forums mobile app
  7. meney9

    Ubora wa camera ya Tecno camon cx

    Sent using Jamii Forums mobile app
  8. meney9

    Ubora wa camera ya Tecno camon cx

    Sent using Jamii Forums mobile app
  9. meney9

    Ubora wa camera ya Tecno camon cx

    Sent using Jamii Forums mobile app
  10. meney9

    Ubora wa camera ya Tecno camon cx

    Anayesema techno ni bora nazidi kushangaa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. meney9

    Nioneshe marafiki wa Tundu Lissu nami nitakuonesha Oligaki, Aristrokasi na Timokrasi

    Kwa mfano madini mtanzania kama Mimi na wewe utaanza vipi kuisapoti nchi yako au utatoa vipi hata msaada wa mawazo kwa nchi yako ili hali haufahamu hata mkataba mmoja serikali na hayo makampuni ya nje? Serikali inajua fika kabsa madhara ya kuvunja au kwenda kinyume na hyo mikataba yao ya siri...
  12. meney9

    Tanesco Kisarawe wang'oa nyaya za umeme minaki

    Nilikuwa juu yako makongoro asee mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. meney9

    Tanesco Kisarawe wang'oa nyaya za umeme minaki

    Tulikuwa tunapaita pond bwawani pale........kipind tunaondoka mkuu Chungu alikuwa anatengeneza visima vya kuvuna maji ya mvua. Kwani wameweka maji ya bomba sasa Isitoshe kuna Fazaa wa jikoni mpishi namkumbuka sana ......au kwa mama kijogole sijui pale mnyampala Sent using Jamii Forums...
  14. meney9

    Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

    Akya Mungu Mimi hapa Mimi haswaa sipimi hata unishikie bunduki kichwani ......!, kuna docta mmoja fala fala Fulani kidogo angeniua maabara ..yaani Mimi nimeenda Pima malaria yeye na ukichaa wake akajumlisha na kipimo cha HIV nilitaman kumtafuna ........ila pimeni wakuu inakufanya unakuwa makini...
Back
Top Bottom