Recent content by Melvine

  1. Melvine

    Viwanda vya bidhaa ya Twyford Tanzania vyafanya makubwa ndani na nje ya Tanzania

    Sitojibu ilo la futi 50 kwa 50 ilo iyo ya 4,000 Ksh ni sawa na Tsh 80,700 hivi. Sasa kompea sh 80,700 na 40,000 ni ipi kubwa
  2. Melvine

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Z Anthony
  3. Melvine

    Kuna brand za nguo zilitikisa sana aisee!

    Kuna clothin line ilikua inamilikiwa na Eminem, SOHK, School Of Hard Knocks. Nilimiliki jeans kadhaa na juu Tshirt za Sean John za mtu mzima Diddy. To brag enzi zile St. Anthony nasema chini nina Eminem na juu nina P. Diddy...noma sana Time flies maaaniinaaa
  4. Melvine

    Series (Special thread)

    Ok ok
  5. Melvine

    Series (Special thread)

    Where?
  6. Melvine

    Katoliki Kanisa Imara sijapata kuona

    I admire Catholic's level of being unbothered. You'll criticize their religion, they will listen for u to finish. They go to church...they eat their sacrament, they pass by their locals, catch a bottle of their favourite beer and go home. They don't even waste their energy defending their...
  7. Melvine

    Series (Special thread)

    Mamboz guys...mimi natafuta movie ya zaman kidogo (nadhani ya 1996 hivi) inaitwa 'From the Dusk till Dawn'. Natunguliza shukrani za dhati mtu akiniwekea link hapa ili niweze i'download. Asante!
  8. Melvine

    Naisaka movie ya room na 1048

    Na mimi nitumie Pm mkuu
  9. Melvine

    Simba SC haitaweza kuchukua kombe lolote la ndani ikiwa itaendelea na kocha Fadlu

    Daaah...makolo timu mnayo ila kocha ndio hamna, fanyeni mpango wa kocha mpya mapemaaaa.
  10. Melvine

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Sio yule wa Berkane, uyu ni alianzia CS Sfacxien u21 msimu wa 19/20 na msimu unaofuata wa 20/21 akaingizwa CS Sfaxien senior team. Msimu wa 23/24 akaenda Qatar ligi daraja la pili timu ya Al-Waab SC Kwa kifupi Simba wamemtoa huko kwenye ligi daraja la 2.
  11. Melvine

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Hapa una'guess au vyote vinafanyika kwa pamoja?
  12. Melvine

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Both Neo Maena and Rushine De Reuck kama dili zao zikitimia wanaenda kwa mkopo Simba SC kwa kipindi cha mwaka mmoja mmoja.
Back
Top Bottom