Recent content by mellisatz

  1. mellisatz

    Kaimu Mhandisi Mkuu wa Ilala asimamishwa kazi kwa utendaji mbovu

    KAIMU MHANDISI MKUU WA KITENGO CHA UJENZI MANISPAA YA ILALA AWAJIBISHWA. Kamati ya Fedha na Utawala ya Baraza la Madiwani la Manispaa ya Ilala, Jijini Dar es Salaam imemwajibisha Kaimu Mhandisi Mkuu wa Kitengo cha Ujenzi wa Manispaa ya Ilala Eng. Japhary Bwigane kutokana na utendaji kazi mbovu...
  2. mellisatz

    'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    Ww ni mpuuzi wa mwisho, na mtaisoma namba mwaka huu, enzi za bwerere zimeisha
  3. mellisatz

    'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    Hivi watanzania mnataka nn jamani? Mbebwe migongoni na raisi ndo muone serikali inafanya kazi, mshatunyonya sana na upandishaji wenu wa ada kiholela mmefanya shule kuwa biashara, hizo ada elekezi zitasaidia sana, tulipokuwa tunaelekea ada za nursery tu zingefika 5ml
  4. mellisatz

    Sefue: Tanzania kurudishiwa dola za kimarekani milioni 6 kutoka Stanbic Tanzania

    Je kushinda kwa kesi ya RADA na kufanyiwa press conference ikulu, ni njia ya kumsafisha na kumrudisha chenge ikulu?
  5. mellisatz

    Sefue: Tanzania kurudishiwa dola za kimarekani milioni 6 kutoka Stanbic Tanzania

    Kuita wanahabari ni kuelezea kuwa tumeshinda kesi ya RADA ya mwaka 2013
  6. mellisatz

    Series (Special thread)

    Kuna series 2 nimezishusha nimezipenda 1) jessica jones 2) the returned
  7. mellisatz

    Series (Special thread)

    Nitadownload vipi series yenye subtitle?
  8. mellisatz

    Vigezo vya uteuzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA vyawekwa wazi

    Kwa kusema hivyo ni kama chadema imesaliti ukawa moja kwa moja, as far as i know chadema haikuwa na mgombea jimbo la segerea na hizo kura wangezihesabu kama kura zilizoharibika, kuhesabu hzo kura kama kigezo ni kusaliti ukawa na mtatiro. Mbali na hivyo huyo dada amefanya kampeni za chini kwa...
  9. mellisatz

    Vigezo vya uteuzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA vyawekwa wazi

    Issue ya Annatropia watu walisema ni chuki binafsi, wako wapi? Jimbo la segerea limejaa watu wanajitambua na viongozi wanajua hilo, limemfuta uanachama Anna wanasubiri maamuzi ya ngazi za juu. Yule dada ni msaliti si suala la chuki ipo wazi kabisa.
  10. mellisatz

    CHADEMA wawe makini: Kuna chuki binafsi, Fitna kwa mama Anatropia Segerea

    Huyu dada atawavuruga chadema msipokuwa makini, wanachama wa segerea tena kwa wingi walikaa kwenye mkutano wa jimbo na kumvua uanachama na barua imefika makao, sasa akiendelea kukumbatiwa sioni mwisho mzuri wa ukawa segerea, na ccm wataitumia hii fursa vizuri sana. Something has to be done...
  11. mellisatz

    CHADEMA wawe makini: Kuna chuki binafsi, Fitna kwa mama Anatropia Segerea

    Hii issue ya segerea imezaa mpasuko mkubwa sana na viongozi wakichulia kawaida wataigawa segerea. Ofcourse sasa hv kuna team anna segerea na team ukawa wanaoamini Anna amesaliti ukawa kwa kufanya campaign zake binafsi na kumssuport bonah wa ccm. Annatropia haonewi wivu ila hali halisi ni kuwa ni...
  12. mellisatz

    Udhaifu wa UKAWA umejidhihirisha segerea.

    Sio lazima kucomment saa nyingine unapita tu mkuu, shida na raha za segerea tunazijua wakazi wa segerea.
  13. mellisatz

    Udhaifu wa UKAWA umejidhihirisha segerea.

    Mkuu hii thread itafungwa muda si mrefu, mm tangia mchana naongelea machungu tuliyonayo kwa huyu dada kupewa ubunge zinafutwa. Haingii akilini mtu aliyehujumu chama na ukawa anazawadiwa ubunge?
Back
Top Bottom