The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,690
- 2,857
Wakuu, amani kwenu...
Sote tunakumbuka jimbo la segerea kwa upande wa UKAWA... lilikabidhiwa kwa chadema chini ya dada Anatropia kama mgombea ubunge..
Ila baadaye, lilikabidhiwa kwa CUF chini ya mtatiro. Ila kutokana na kutoelewana CHADEMA na CUF wote wakasimamisha wagombea iliyosababisha wagawane kura na mgombea wa CCM apite kirahisi
Sasa cha kushangaza ama kufurahisha Anatropia ameteuliwa kuwa kati ya Wabunge wa viti maalum.
Sasa kulikuwa na ulazima gani wa Anatropia agombee na mtatiro wakati mngeweza kuumpa ubunge wa viti maalum????
UKAWA hamkujipanga.