Recent content by MELAND

  1. M

    Mercedes G 63 AMG 6*6 sold out, Naam

    Sawa mkuu dunia ndivyo ilivyo
  2. M

    Madereva: Bila Waziri Mkuu kufika Ubungo Bus terminal mgomo kesho kuendelea

    Issue ni kurudi darasani sio wamiliki wakuu hizo siasa
  3. M

    Mercedes G 63 AMG 6*6 sold out, Naam

    Du hiyo ni amazing wakuu sijui gharama take na spareparts
  4. M

    Hii foleni mbona balaa!

    Poleni wakuu hii ndo tz
  5. M

    Amepata stroke baada ya kunifuma na mke wake roho inaniuma sana

    Mkewe usimsambie, ila pia achana na huyo mwanamke maana ni zimwi na hospital punguza kwenda akikuona atakuwa anaumia
  6. M

    Wabunge Wawili wa CCM Waliopiga Kura za Hapana Jana ni Muafaka Wakajitoa Sasa!!

    Hivi kumbe wabunge wa ccm huchaguliwa ma ccm na c wananchi? Kweli bado sana. Huo ujimga wa kulinganisha nchi zilizoendelea kama marekani na tz ni utumwa
  7. M

    Utafiti wa msomi

    Ama kweli utafiti
  8. M

    Naombeni ushauri, nifanyeje?

    Shikamoni wakubwa wote, na wadogo mambo? Mimi ni kijana nasoma kidato cha sita, nilishawahi kuwa na mpenzi nikiwa o level kwa bahati nzuri au mbaya ujana ulimzidi tukaachana nikawa nimeamua kuachana na habari hizo na kukomaa na shule. Kwa sasa natamani kuwa na mtu lakini bado nahic inawezb tokea...
  9. M

    Siri hujenga au hubomoa mahusiano?

    mimi naona siri zinaweza kujenga au kubomoa kutokana na uelewa na mipango ya mtu anayelengwa. Mfano, mtu mwingine anapenda kuambiwa wakati mwingine hapendi
  10. M

    Mtwara leo watakataa gesi isitoke kesho watakataa Watanzania wanufaike na gesi, hatari iko mbele

    Ndugu yangu Mtwara wanachokitaka ni kuendeleza na kuhimiza mgawanyo sawa wa rasilimali ambao utapelekea kukua kwa uchumi sawa pande zote za nchi. Wewe unataka watu wote tuhamia Dar? Unadhani wote tutatosha? Tumia elinu yako kuchanganua hili
Back
Top Bottom