Recent content by mejakery

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndani ya wiki hii ninatoka dar kuelekea arusha, lengo kutafuta mke wa kuoa

    Unamaanisha nini ndugu
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndani ya wiki hii ninatoka dar kuelekea arusha, lengo kutafuta mke wa kuoa

    Bado sijaondoka ndio Niko kwenye maandalizi
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndani ya wiki hii ninatoka dar kuelekea arusha, lengo kutafuta mke wa kuoa

    Asante mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Containers for sales

    Bei gani la ft 20
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini masikini hudharaulika kwenye jamii zetu?

    Pesa heshima, tafuta pesa kwa akili na nguvu zako zote,
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Yanga vs wabunge wa Simba, hichi ndicho nakiona

    Wabunge wa ukawa upande wa yanga wako wangapi? Na ccm wangapi,
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wavamia kituo cha polisi wakimtaka Sangoma wao

    Aaah!!!!! Tanga bwanaa!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kushabikia siasa katika kipindi kigumu kama hiki si rahisi!

    Ukumbuke bombardier Q400 moja imeshatua nchini bado nyingine, kwahiyo vuta subira Mzee, hayo mengine hata shughuli kila tu, uskonde babu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Retired Police officer kwenye Malumbano ya hoja

    Mara nyingi akipewa maiki kuongea naona huwa anatoka nje ya mada inayoongelewa, msamizi wa kipindi anajaribu kumrejesha kwenye mada lakini bado tu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Taifa la Uholanzi (Netherland)

    Hiyo nchi ina idadi ya watu wangapi? Idadi yao sasa na sisi, mbona mi naona sources yao ya mapato ni ndogo kuliko sisi na bado wanatupa misaada, yaani bandari, airport na ukulima wa mbogamboga? Sisi tumelogwa nani? Kwa sababu sisi tuna vitu lukuki MF utalii,, madini, bandari, nk na bado maskini?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya ndege mpya ya ATCL eneo la Terminal One-JNIA

    Ila inaonekana inakuula mafuta sana,kwa kila km 1.8 mafuta ya sh 16,940, maanake ni kwamba ikisafiri ndani SAA moja ambaye ni km 666.7 kwa mfano let say from dar to arusha inakula mafuta kiasi cha tsh 6,274,387.7 is it affordable? Au itakuwa kama mabasi ya UDART utaskia mara yamepaki mafuta...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Taifa la Uholanzi (Netherland)

    Uchumi wa nchi yenyewe ukoje? Ni ya ngapi kwa uchumi duniani? Uchumi wake hasa unategemea nini? Wastani wa pato LA kila RAIA ukoje, naona umeelezea mambo ya starehe tu bila kueleza hela za starehe wazipata wapi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lazima utakuwa umeonewa kama.......

    Kama mwenye nyumba anakuchaji sh 15000 ya umeme kwa mwezi humo chumbani kwako una TV tu ambayo inatumika usiku tu, inauma sana
Back
Top Bottom