Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Polisi ililazimika kupiga mabomu ya machozi angani ili kutawanya kundi la watu hao waliovamia kituo cha polisi wakishinikiza kuachiwa kwa sangoma huyo huku wakifanya vurugu, wakidai mganga hiyo ni muhimu katika kijiji chao.
Urushaji wa mabomu hayo ya machozi ulisababisha watu kadhaa kukamatwa na jeshi hilo wakitutuhumiwa kufanya maandamano haramu.
Hali hiyo imesababisha shughuli za kawaida na usafiri katika kituo cha mabasi cha Korogwe kilicho jirani na kituo hicho cha polisi kusimama kwa muda huku wasafiri na wafanyabiashara wakitimua mbio.