Recent content by Mein kemphy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nina 1.5 milioni nataka kufunga ndoa na harusi? Nianzie wapi

    Kabisa nakuunga mkono
  2. M

    JamiiForums Tanzania Michango ya Harusi Single 100,000 na Dabo 150,000, watu wanaumia kimoyomoyo!

    Nasema hivi, mimi nikiwa na akili timamu SICHANGII NDOA YA MTU, Tena nipo na staff zangu wanajua kabisa, nachochatoa ni kwa issue ya MARADHI ambayo kimsingi anahitaji surport yetu, takuwa mstari wa mbele kumpigania mpambanaji mwenzangu apone ili aendelee na majukumu maana maisha yanahitaji...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nina 1.5 milioni nataka kufunga ndoa na harusi? Nianzie wapi

    Kilo moja inaliwa na watu 7, watu 500 watakula kilo ngapi? Maana yake ni kilo 73, kilo moja ni elfu 3, chukua 3000×73=21600. Hapo nyama kilo 20, viungo vya 40,000 soda, yaani inatosha mzee hahahaha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nina 1.5 milioni nataka kufunga ndoa na harusi? Nianzie wapi

    Hiyo hela nikubwa sana zingatia haya 1. Usiweke ndoa ukumbini 2. Kadiria watu wachache wasizidi watu 500 3.andaa bajeti simple ya chakula cha watu 500, ambapo kilo moja inaliwa na watu 6 hadi 8 4.Pika wali nyama,pilau na ndizi, over 5.usikodishe Mc wa bei ghali, wapo hadi wa elfu 50, 6.ndoa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mara paaap Mbowe ndio Makamu wa Rais

    😀😀
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba fursa ya kujitolea Shuleni, nimemaliza Biology na Geography Chuo

    Pole sana, ila nakushauri nenda shule nzuri ya private, kajitolee. Watakulipa japo 150k, onyesha uwezo wako hapo, tengeneza chanel, piga kazi kweli kweli, siku ukipata kazi sehemu nyingine ndio siku hiyo hiyo shule hiyo hiyo watakapokupa mkataba wa ajira na utaanza kulipwa rasmi maana watakuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    7:37
  8. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza kudhani ni habari za kutunga

    Uzi bora kabisa huu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wavaa ushungi huwa wanasuka au kuvaa mawigi?

    Ni pambo kwake yeye binafsi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wavaa ushungi huwa wanasuka au kuvaa mawigi?

    Kusuka ni pambo kwa mwanamke, lakini kwa mwanamke wa kiislamu pambo nikwaajili ya mume wake. Hivyo akisuka na mtindo wowote ni kwaajili ya Mume tu na watu wa barabarani,
  11. M

    JamiiForums Tanzania KERO Nimerudisha Kitambulisho changu NIDA Morogoro tangu Januari, hadi leo sijapewa kingine

    Bora wewe january, mimi tangu 2019 sijapewa kitambulisho changu, nimeenda hadi ofisi za NIDA naambiwa bado kitambulisho changu kinashughulikiwa na hakijatoka
Back
Top Bottom