Recent content by Megadoni

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata kidonda sehemu za siri kinauma sana nitumie dawa gani?

    nenda hospitali
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kwa anaye ijua shule ya same boys high school....

    i was just asking if the the school is full equiped with all facilities needed plus enough teachers
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kwa anaye ijua shule ya same boys high school....

    Vipi kuhusu teaching facilities na walimu?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kwa anaye ijua shule ya same boys high school....

    Kaka nimetoka shule za msoto.....
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kwa anaye ijua shule ya same boys high school....

    Thanks brother!! Na vipi kuhusu historia yake ya kitaaluma?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kwa anaye ijua shule ya same boys high school....

    Ni vyema kuyafahamu mazingira mapema....mimi sijawahi kufika huko kilimanjaro hata mara moja. Napenda kuijua mapema ili kama ni kuhama nianze kujipanga mapema
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kwa anaye ijua shule ya same boys high school....

    Nimechaguliwa shule ya same boys high school comb ya PCM......Naomba anayeifahamu mazingira yake anijuze tafadhali
  8. M

    JamiiForums Tanzania LIVE: Arsenal VS Bayern Munchen...

    Jamani mwenye link anisaidie niicheki naona huku kuna mushkeli
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa muktadha huu "URAIS" ni wa CCM 2015...

    Pamoja dada asha Dii
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shule zilozoongoza matokeo kidato cha nne 2012/2013

    Nimeipenda hiyo mkuu!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kila Mtangazaji sasahivi amegeuka kuwa mwanasiasa??!

    waulize PJ na KIBONDE!nafikiri wana majibu majibu mazuri yakukupa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

    Kweli kabisa nimeiangalia video yake YOUTUBE!!. . .lakini imenishinda kui upload humu!!huyu jamaa ni mchochezi vibaya mno!!. . . achunguzwe huyu mtu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nape: Chadema wanatabia ya nguruwe ya kula watoto wake

    vijana wa gongolamboto wananipa raha sana!!. . . .NAPE kamwaga pesa kinoma!!!!watu wamemchezea kiini macho kwa kuigiza kujiunga CCM!!!!....looh!
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yaigaragaza CCM Mbozi kwenye Uchaguzi Mdogo

    hakuna hawezae kuzima mapinduzi!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Habari!!

    Habari zenu wanajamvi!!nipokeeni jamani!!
Back
Top Bottom